Kila nikiikumbuka ESCROW siitaki kuisikia CCM!

Kila nikiikumbuka ESCROW siitaki kuisikia CCM!

.....kuna watu wanapenda kutetea uovu yaani hata %0.2 ya aibu huna unatetea tu kuchotwa kwa mamilioni ya kodi zetu......?

Huo uovu upo kichwani mwako. Onesha uovu nilioutetea.
 
wachambuzi wanaweza kuangalia vyema haya mambo ya kifisadi katika hii nchi. Nini madhara yake. Sidhani kama watu wemepoteza muda kuangalia .Uchumi umejeruhiwa kiasi gani? Usalama wa nchi kwa hizo fedha kutumika katika maeneo yanayochochea uvunjivu amani au usalama wa taifa, au hata usalama wa wajumbe waliofuatia hizo report, pamoja na umoja wetu.

Kwa haraka tunaweza ona km ni kitu rahisi ila kama hizo hela ziligusa makundi ambayo tayari hayakuwa na imani na mengine nini kinaweza fuatia fedha hizo zinapotembea ktk hayo makundi kwa namna ya kuongeza chuki na si kujenga.

Je nini kinaweza tokea km bado watuhumiwa wa Escrow wanahisi kwamba bado sheria inaweza tumika zaidi na wapo watu katika wajumbe wanaweza kuwa msaada wa sheria kuwafikia walionusurika?
 
Wajumbe wa tume wanaweza kuwa hatarini km scandle la escrow bado halikumalizika.Na watakaokuwa hatarini wanaweza kuwa ni wale wenye uwezekano wa kutumika kurudia hilo sakata na kuwaweka hatiani watu fulani fulani waliopona.
 
Yaani nikikumbuka jinsi baadhi ya wabunge wa CCM walivyotokwa mapovu kuitetea ESCROW naumia sana, naichukulia CCM kama chama cha watu wasiomjua Mungu! Hawastahiki kupewa tena nchi, wanatufilisi! Watu walibeba pesa kwenye magunia, Stanbick bank hawataki kutoa majina ya walioiba pesa kama wale wa Mkombozi bank.

Huyu huyu mgombea urais wa CCM hajawahi kutoa msimamo wake kuhusiana na wizi wa pesa za ESCROW, Bora hata Mwandosya na Mwigulu walionekana kukerwa na jambo hilo!

Lakini Magufuli alikua kimyaaa! Leo akaanzishe mahakama ya mafisadi kweli?

Yangu ni hayo tu
 
ati Kuanzisha Mahakama za mafisadi?, wakati hizi zilizopo zipo hoi kwa rushwa!!
 
EAST AFRICA BREAKFAST: (12 Asubuhi) HABARI ZA KUSHANGAZA

Wakunga wa Zahanati za Machungwa, Mtombozi na kituo cha afya cha Duthumi wilaya ya Morogoro vijijini mkoani Morogoro wanalazimika kutumia mifuko ya rambo kuzalishia wanawake wajawazito kutokana na zahanati hizo kukosa mipira maalumu (gloves) na kuiomba serikali na wadau kusaidia kuokoa maisha ya wakina mama na watoto. Wakizungumza huku waonyesha mazingira magumu waliyonayo katika zahanati hizo wakunga hao wamesema wanafanya kazi katika mazingira magumu kwa kukosa vifaa vya kuwasaidia wakina mama wakati wa kujifungua huku wakilazimika kutumia vibatari kutokana na zahanati ya mtombozi kukosa umeme mbali na wanawake kunyeshewa na mvua kutokana na paa za wodi kuchakaa ambapo wameiomba serikali na wadaau kujitokeza kusaida ili kuokoa maisha ya wagonjwa.

Source:EATV
 
Yaani nikikumbuka jinsi baadhi ya wabunge wa CCM walivyotokwa mapovu kuitetea ESCROW naumia sana, naichukulia CCM kama chama cha watu wasiomjua Mungu! Hawastahiki kupewa tena nchi, wanatufilisi! Watu walibeba pesa kwenye magunia, Stanbick bank hawataki kutoa majina ya walioiba pesa kama wale wa Mkombozi bank.

Huyu huyu mgombea urais wa CCM hajawahi kutoa msimamo wake kuhusiana na wizi wa pesa za ESCROW, Bora hata Mwandosya na Mwigulu walionekana kukerwa na jambo hilo!

Lakini Magufuli alikua kimyaaa! Leo akaanzishe mahakama ya mafisadi kweli?

Kila nikona picha ya Lowassa nakumbuka RICHMOND tulivyokuwa tukichangishwa 150M per day na umeme hakuna Mungu ni mkubwa nina uhakika atampa kile anachostahili kwa uovu alitutendea watanzani eti bila aibu naye anataka awe Rais !!!!!!!!!!
 
Bahati nzuri Magufuli siyo fisadi moja kwa moja kama Lowasa, Rais ni Magufuli tu hakuna namna.

Thibitisha angalao unit moja tu ya Uhusika wa LOWASSA kwenye Richmond au uhusika wa ufisadi wowote ule! Mbona leo yapata miaka 8 hajafikishwa popote!Vinginevyo wewe ni vuvuzela tu unapiga kelele!
 
Thibitisha angalao unit moja tu ya Uhusika wa LOWASSA kwenye Richmond au uhusika wa ufisadi wowote ule! Mbona leo yapata miaka 8 hajafikishwa popote!Vinginevyo wewe ni vuvuzela tu unapiga kelele!

Kilichomfukuzisha uwaziri mkuu nini?
 
Yaani nikikumbuka jinsi baadhi ya wabunge wa CCM walivyotokwa mapovu kuitetea ESCROW naumia sana, naichukulia CCM kama chama cha watu wasiomjua Mungu! Hawastahiki kupewa tena nchi, wanatufilisi! Watu walibeba pesa kwenye magunia, Stanbick bank hawataki kutoa majina ya walioiba pesa kama wale wa Mkombozi bank.

Huyu huyu mgombea urais wa CCM hajawahi kutoa msimamo wake kuhusiana na wizi wa pesa za ESCROW, Bora hata Mwandosya na Mwigulu walionekana kukerwa na jambo hilo!

Lakini Magufuli alikua kimyaaa! Leo akaanzishe mahakama ya mafisadi kweli?
mimi nikikumbuka twiga na wanyama wengine walivyopakiwa kwenye ndege na cocain kilo zaidi ya 15 ilivyopita uwanja wa ndege JKN bila kuonekana lakini mamlaka za afrika kusini wakayakamata nahisi kutapaka.nikiichagua CCM naweza kupata laana ya mababu zangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom