Kila nikiikumbuka ESCROW siitaki kuisikia CCM!

Kila nikiikumbuka ESCROW siitaki kuisikia CCM!

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
5,255
Reaction score
8,027
Yaani nikikumbuka jinsi baadhi ya wabunge wa CCM walivyotokwa mapovu kuitetea ESCROW naumia sana, naichukulia CCM kama chama cha watu wasiomjua Mungu! Hawastahiki kupewa tena nchi, wanatufilisi! Watu walibeba pesa kwenye magunia, Stanbick bank hawataki kutoa majina ya walioiba pesa kama wale wa Mkombozi bank.

Huyu huyu mgombea urais wa CCM hajawahi kutoa msimamo wake kuhusiana na wizi wa pesa za ESCROW, Bora hata Mwandosya na Mwigulu walionekana kukerwa na jambo hilo!

Lakini Magufuli alikua kimyaaa! Leo akaanzishe mahakama ya mafisadi kweli?
 
Acha tu mkuu,

Me kila nkikumbuka bunge la Katiba ndo siitak kabisa CCM
 
Eti Leo wanaomba kura tena! Sitaki kuamini macho yangu.Yaani tunatakiwa kujutia maamuzi ya 2010, Tuseme NO kwa CCM, hatutaki mchwa tena.

Usijali Mkuu, siku 18 zmebaki tu tufanye yetu..
 
Yaani nikikumbuka jinsi baadhi ya wabunge wa CCM walivyotokwa mapovu kuitetea ESCROW naumia sana, naichukulia CCM kama chama cha watu wasiomjua Mungu! Hawastahiki kupewa tena nchi, wanatufilisi!Watu walibeba pesa kwenye magunia, stanbick bank hawataki kutoa majina ya walioiba pesa kama wale wa Mkombozi bank.
Huyuhuyu mgombea urais wa CCM hajawahi kutoa msimamo wake kuhusiana na wizi wa pesa za ESCROW, Bora hata Mwandosya na Mwigulu walionekana kukerwa na jambo hilo! Lakini Magufuli alikua kimyaaa! Leo akaanzishe mahakama ya mafisadi kweli?

Tatizo la escrow ni nini? Ulitaka umeme wa bure? Au ulifikiri ile mitambo inayofua umeme ilijiweka yenyewe? Au siku hizi Tanzania mnaunda mitambo ya kufua umeme?
 
Pamoja na ile dharau waliyotuonyesha kwenye bunge la katiba , nikikumbuka naumia sana ! cha kushangaza eti watu wamesahau matukio yote haya.
 
Tatizo la escrow ni nini? Ulitaka umeme wa bure? Au ulifikiri ile mitambo inayofua umeme ilijiweka yenyewe? Au siku hizi Tanzania mnaunda mitambo ya kufua umeme?
Usijifanye hujui zezeta unayeburuzwa tu Unaelewa vizuri sana! Kaisome tena report ya CAG!CCM wametafuna pesa za umma bia aibu, ona sasa wamelitia shirika la Umeme hasara,Mgao kila kona mpaka wanasingizia majaribio ya mtambo wa ges! Nasema hivi...CCM lazima iondoke madarakani.
 
Nisijifanya sijui nini?

Nimekuuliza maswali, hujuwi majibu yake au unajifanya hujui?

Nani aliyesema "majaribio mtambo wa gesi"? Wacha uongo!
 
CCM wanakimbia kivuli chao wenyewe walifikili jua halita chomoza itapigwa chini kikatili imeangalia kibla bado kupitisha kisu tuu magufuri chaliiiiiiiiiiii tutampa nauli ya chato hatupendi dharau
 
CCM wanakimbia kivuli chao wenyewe walifikili jua halita chomoza itapigwa chini kikatili imeangalia kibla bado kupitisha kisu tuu magufuri chaliiiiiiiiiiii tutampa nauli ya chato hatupendi dharau

= Magufuli

Ukitaja Chato nnakumbuka kitu halafu nnacheka.

Kwi kwi kwi teh teh teh!
 
Ndugu yangu Faizafoxy!
Mgao wa Umeme ni wazi kua ni results za ESCROW! Tanesco haina pesa, Suala la Mgao nimekuambia walisingizia majaribio ya mitambo ya gesi lakini mpaka sasa hivi Mgao unaendelea kimya kimya! Wewe ni mgumu sana wa kuelewa sijui ni Kwanini! Hapo huelewi nini kwa mfano?
 
Eti kichekesho cha mahakama ya mafisadi wakati anao majukwaani akiwanadi. Hatudanganyiki tena ccm lazima iondoke imebakiza siku 18 tu
 
Yaani nikikumbuka jinsi baadhi ya wabunge wa CCM walivyotokwa mapovu kuitetea ESCROW naumia sana, naichukulia CCM kama chama cha watu wasiomjua Mungu! Hawastahiki kupewa tena nchi, wanatufilisi! Watu walibeba pesa kwenye magunia, Stanbick bank hawataki kutoa majina ya walioiba pesa kama wale wa Mkombozi bank.

Huyu huyu mgombea urais wa CCM hajawahi kutoa msimamo wake kuhusiana na wizi wa pesa za ESCROW, Bora hata Mwandosya na Mwigulu walionekana kukerwa na jambo hilo!

Lakini Magufuli alikua kimyaaa! Leo akaanzishe mahakama ya mafisadi kweli?

Mkuu safi sana, tunakuomba kuelekea uchaguzi mkuu kila siku utukumbushe ufisadi mmoja mmoja uliofanywa na serikali ya ccm
 
Bila ya escrow kampeni wangefanyia nini thubutu mgombea wao azungumzie escrow wakati anajua ndo imefadhili mradi wake wa kuwa presidaa
 
Tatizo la escrow ni nini? Ulitaka umeme wa bure? Au ulifikiri ile mitambo inayofua umeme ilijiweka yenyewe? Au siku hizi Tanzania mnaunda mitambo ya kufua umeme?

Kama tatizo lingekuwa ni UMEME basi malipo yangekuwa kwa 1. H. Singh na 2. Rugemalila baada ya kukokotoa hesabu upya kwa mujibu wa hukumu ilivyoelekeza.

Lakini kuwepo majina manne ambayo yakitajwa serikali inaanguka !!??. Ile ni aibu na inatakiwa Ccm ihukumiwe
 
Inaniuma sana nikifikiria huwaga ninalia.
Inaniuma sana kila ninalo taka linakosekana.
Inanuma sana nchi yangu imepimwa imekutwa ina ngoma.
 
Tatizo la escrow ni nini? Ulitaka umeme wa bure? Au ulifikiri ile mitambo inayofua umeme ilijiweka yenyewe? Au siku hizi Tanzania mnaunda mitambo ya kufua umeme?

JK alilitangazia Taifa kwamba fedha za Escrow zilikua sio za umma. Sawa, kama zilikuwa sio fedha za umma kwanini kuna usiri juu ya transactions zilizofanyika kupitia Stanbic bank? Nini msimamo wa Magufuli juu ya Escrow? Nini msimamo wa Magufuli juu ya rasimu ya pili ya katiba inayopendekezwa? Nini kauli yake juu ya upotevu wa billion 256 wizara ya ujenzi kwa mujibu wa report ya CAG?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom