Kila nikifikiria natetemeka tu

Kila nikifikiria natetemeka tu

happy amos

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
251
Reaction score
434
Jaman sijui ni wivu wangu tu au sielewi
Iko hivi ninaishi na mme wangu ni muda Sasa....
Ijumaa last week nilisafir kuja nyumban kwetu mama anaumwa ambapo ni mkoa mwingine na ninapoishi na mme wangu

Nimesafir alhamis jmos akaja kwangu wifi angu na rafiki ake wapo chuo...mume kesho yake akanitaalufu tumepata mgeni wf na rafik ake

Ambacho nilishangaa haijawah kupita wk 2 sijawasiliana na wf angu lkn kaja wala hajaniambia kafika hajanikuta hata msg tu hajaniambia nami nikanyamaza

Kinachoniwazisha Leo nimempigia mume saa 4 usiku anapokea yupo kwenye kelele ananiambia katoka out nawagen
Nachoshangaa tangu nimemfaham huyu baba miaka 2 hajawah kunitoa out nishambembeleza badae nikaona nimtu ambae hana interest hizo...nashangaa Leo aiseee
last easter nilimwambia baba jion tusipike hatuna mtoto twende tukae sehem tule turudi nyumban uzur wote hatutumii kilevi akakataa najiuliza na nimeshangaa Sana leo
Huyu rafik wa wifi ni wa muda mrefu tu tangu tunaishi jiran na wanaposomea walikua kila week end wanakuja kwa jamaa j3 wanarudi chuo wakati atujaanza kuishi wote

Nawaza labda ni wivu wangu tu!!
Kwann wf ata asinijulishe wala sms tu yupo kimya!!
Kinachoniuma zaidi mke sijawah kutokewa out hata ya soda tu
Bora hata angeniambia before maana nimempigia saa 12 jion alikua nyumban tu
Aiseee usingizi haujii
 
Kwanini usimuulize huyo mumeo sababu ya kutoa wageni out wakati wewe hajawahi kukutoa na sababu ya wifi yako kuja kwako na kushindwa kukutaarifu hata kwa sms??

maana kwa humu sidhani kama utapata majibu ya maswali yako, ndoa njema ni kuzungumza ya moyoni na sio kuogopana na kusemea pembeni.
 
Bora umemuambia
 
Namemuulizaa anadai kuwatoa haoni Kama ni tatizo ...kuhusu taarifa anasema ye hajui nimuulize wifi
 
Jaman sijui ni wivu wangu tu au sielewi
Iko hivi ninaishi na mme wangu ni muda Sasa....
Ijumaa last week nilisafir kuja nyumban kwetu mama anaumwa ambapo ni mkoa mwingine na ninapoishi na mme wangu

Nimesafir alhamis jmos akaja kwangu wifi angu na rafiki ake wapo chuo...mume kesho yake akanitaalufu tumepata mgeni wf na rafik ake

Ambacho nilishangaa haijawah kupita wk 2 sijawasiliana na wf angu lkn kaja wala hajaniambia kafika hajanikuta hata msg tu hajaniambia nami nikanyamaza

Kinachoniwazisha Leo nimempigia mume saa 4 usiku anapokea yupo kwenye kelele ananiambia katoka out nawagen
Nachoshangaa tangu nimemfaham huyu baba miaka 2 hajawah kunitoa out nishambembeleza badae nikaona nimtu ambae hana interest hizo...nashangaa Leo aiseee
last easter nilimwambia baba jion tusipike hatuna mtoto twende tukae sehem tule turudi nyumban uzur wote hatutumii kilevi akakataa najiuliza na nimeshangaa Sana leo
Huyu rafik wa wifi ni wa muda mrefu tu tangu tunaishi jiran na wanaposomea walikua kila week end wanakuja kwa jamaa j3 wanarudi chuo wakati atujaanza kuishi wote

Nawaza labda ni wivu wangu tu!!
Kwann wf ata asinijulishe wala sms tu yupo kimya!!

Kinachoniuma zaidi mke sijawah kutokewa out hata ya soda tu
Bora hata angeniambia before maana nimempigia saa 12 jion alikua nyumban tu
Aiseee usingizi haujii
wazee wa fitna hapo tunaanza na wifi,tunaeleza ndimwilika zako zote,akisema tu "eti eeh"ndo unamwaga za bana ba yuda.
conclusion.
brother ambae ni buzi lako mumeo ataomba sasa dada si unikutanishe tu na rafiki yako flani au flani maana tunaendana,
maana unaonekana una nongwa sana weye,ndo mana wifi hakupi credit.
huna hela ya soda
hutaki kupika
unataka kutolewa out kwa lazima
mshari unatafta nongwa tu,mi kwa story yako nshajua utakua waleee kina mwajuma ndala zilizokatika,
hao wameenda kula kitimoto tu bana sasa mwajuma nawe ukale eid hiyo kitu aaaah,
 
Funga safari rudi mama. Abiria chunga mzigo wako. Waage nyumbani kuna shida kidogo. Rudi bila taarifa. Uone ukweli moyo wako utatulia
Namemuulizaa anadai kuwatoa haoni Kama ni tatizo ...kuhusu taarifa anasema ye hajui nimuulize wifi
 
Jaman sijui ni wivu wangu tu au sielewi
Iko hivi ninaishi na mme wangu ni muda Sasa....
Ijumaa last week nilisafir kuja nyumban kwetu mama anaumwa ambapo ni mkoa mwingine na ninapoishi na mme wangu

Nimesafir alhamis jmos akaja kwangu wifi angu na rafiki ake wapo chuo...mume kesho yake akanitaalufu tumepata mgeni wf na rafik ake

Ambacho nilishangaa haijawah kupita wk 2 sijawasiliana na wf angu lkn kaja wala hajaniambia kafika hajanikuta hata msg tu hajaniambia nami nikanyamaza

Kinachoniwazisha Leo nimempigia mume saa 4 usiku anapokea yupo kwenye kelele ananiambia katoka out nawagen
Nachoshangaa tangu nimemfaham huyu baba miaka 2 hajawah kunitoa out nishambembeleza badae nikaona nimtu ambae hana interest hizo...nashangaa Leo aiseee
last easter nilimwambia baba jion tusipike hatuna mtoto twende tukae sehem tule turudi nyumban uzur wote hatutumii kilevi akakataa najiuliza na nimeshangaa Sana leo
Huyu rafik wa wifi ni wa muda mrefu tu tangu tunaishi jiran na wanaposomea walikua kila week end wanakuja kwa jamaa j3 wanarudi chuo wakati atujaanza kuishi wote

Nawaza labda ni wivu wangu tu!!
Kwann wf ata asinijulishe wala sms tu yupo kimya!!
Kinachoniuma zaidi mke sijawah kutokewa out hata ya soda tu
Bora hata angeniambia before maana nimempigia saa 12 jion alikua nyumban tu
Aiseee usingizi haujii
Huyo hajawatoa "out" ni wao ndiyo wamemtoa "out".
 
Dadaangu jua tuu mtu na dadaake hua tofauti kidogo na mtu na mkewe...bila shaka wifiako na rafikiake ndio walio mtoa out,

Jaribugi kua muwazi kwa shem..mwambiage usiitikie tuu,kama apo ungemuuliza kulikoni leo out?,nini kimetokea?

Pia kama hajawahi kukupa sababu ya kumtilia shaka,uwe na amani tuu...
 
Dada ananguvu, kamlazimisha nayeye akaona noma kwa mgeni kaamua kutoka out. Jiamini... Ukirudi mwambie WiFi yako aje peke yake , then mpange kutoka wote watatu uone kama atakataa!
 
Jaman sijui ni wivu wangu tu au sielewi
Iko hivi ninaishi na mme wangu ni muda Sasa....
Ijumaa last week nilisafir kuja nyumban kwetu mama anaumwa ambapo ni mkoa mwingine na ninapoishi na mme wangu

Nimesafir alhamis jmos akaja kwangu wifi angu na rafiki ake wapo chuo...mume kesho yake akanitaalufu tumepata mgeni wf na rafik ake

Ambacho nilishangaa haijawah kupita wk 2 sijawasiliana na wf angu lkn kaja wala hajaniambia kafika hajanikuta hata msg tu hajaniambia nami nikanyamaza

Kinachoniwazisha Leo nimempigia mume saa 4 usiku anapokea yupo kwenye kelele ananiambia katoka out nawagen
Nachoshangaa tangu nimemfaham huyu baba miaka 2 hajawah kunitoa out nishambembeleza badae nikaona nimtu ambae hana interest hizo...nashangaa Leo aiseee
last easter nilimwambia baba jion tusipike hatuna mtoto twende tukae sehem tule turudi nyumban uzur wote hatutumii kilevi akakataa najiuliza na nimeshangaa Sana leo
Huyu rafik wa wifi ni wa muda mrefu tu tangu tunaishi jiran na wanaposomea walikua kila week end wanakuja kwa jamaa j3 wanarudi chuo wakati atujaanza kuishi wote

Nawaza labda ni wivu wangu tu!!
Kwann wf ata asinijulishe wala sms tu yupo kimya!!
Kinachoniuma zaidi mke sijawah kutokewa out hata ya soda tu
Bora hata angeniambia before maana nimempigia saa 12 jion alikua nyumban tu
Aiseee usingizi haujii
Binadamu ana connection ya moja kwa moja na mambo yanayomhusu mfano kama unemuacha mwanao mchanga na analia uko mbali utajua kwa hisia vivyo hivyo na tukio lingine baya au zuri likifanyika unapata hisia.
Lipo jambo mmeo kalifanya kinyume hata kama siyo huyo dada wa wf yako.
Mimi ninaamini sana hisia kama hizo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom