Kila nikifikiria natetemeka tu

Kila nikifikiria natetemeka tu

Yan kuna nyuzi zingine bhana,, iko hv, tulia miaka miwili haitoshi kumfahamu mtu. Huyo ni mumeo wa ndoa? Km jibu ni ndiyo tulia muhudumie mama, hyo mbooooo ya jamaa hata ikitumika haiishi utaikuta. Tulia
 
Unajua uchungu wa mume?
Unaujua uchungu wa mama?
Badala ya kujali mama anaumwa unamdhania mumeo mabaya.
Kwanza kwanini humuamini mumeo?
Why are you so suspicious?
Unaujua umuhimu wa trust katika mapenzi?
Ushawahi kuwa na long distance relationship?
Dada we japo umeolewa ila bado ni premature.
Pole.
 
Huyo rafiki wa wifi yako mbona chakula ya mumeo long time. Pole my dear
 
Huyo hajawatoa "out" ni wao ndiyo wamemtoa "out".
Na inaonekana huyo bidada hana ushawishi kwa mumewe. Hivi kweli mwanamke ataka umtoe out mwanaume ukaze? Sijawahi ona. Labda niwe sina hela kabisa na ntasema.
 
Namemuulizaa anadai kuwatoa haoni Kama ni tatizo ...kuhusu taarifa anasema ye hajui nimuulize wifi
Kumbe jibu amekupa kua haina tatizo sasa una tetemeka nini?? jiamini na muamini mwenzio.
 
Ni Wivu Tu.
IMG_20190416_163256.jpeg
 
Usijali mrembo...ukimaliza kumuuguza mama, pitia huku ili muwe ngoma droo. Ninaahidi kukutoa out......
 
Kwanini usimuulize huyo mumeo sababu ya kutoa wageni out wakati wewe hajawahi kukutoa na sababu ya wifi yako kuja kwako na kushindwa kukutaarifu hata kwa sms??

maana kwa humu sidhani kama utapata majibu ya maswali yako, ndoa njema ni kuzungumza ya moyoni na sio kuogopana na kusemea pembeni.
Wewe shoga harakati zenu za kugawa nyuma vp?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom