Kila nikifikiria natetemeka tu

Kila nikifikiria natetemeka tu

Wifi anaanzaje kuja na rafiki yake hadi rafiki alale hapo?mbaya zaidi ukiwa haupo!!!
Nyumba lazima iwe na utaratibu.
 
Una wivu sana !!una lalamika mno
Embu jifunze kuchukulia baadhi ya vitu kawaida tu.
 
Sitaki kukuumiza dada ila ukweli hiyo hali si ya kawaida, umewekwa gizani, nahofia wifi amemuunganishia rafikiye kwa mumeo, 87% uwezekano wa kusex ye na rafikiye
 
happy amos mama nakushauri hilo lisikufikirishe wala usionyeshe kua limeukwaza.
Lipotezee kabisaaa as long as ushauliza na ujumbe shemeji ameupata. Ukirudi kua normal kabisa hata shemeji akilikumbushia mwambie yameisha hutaki kuyaongelea
Kuhusu wifi kutokutoa taarifa mpotezee yani alija kwako mhudumie na fanya kila kitu yani usiwaulize acha wao ndio wajiulize kwanini umeamua kulikalia kimya.
Kama kuna uchafu wanafanya nyuma yako utajua tu.
 
Wifi yako si mtu mzuri,amemtafutia kaka yake mchepuko
 
Jaman sijui ni wivu wangu tu au sielewi
Iko hivi ninaishi na mme wangu ni muda Sasa....
Ijumaa last week nilisafir kuja nyumban kwetu mama anaumwa ambapo ni mkoa mwingine na ninapoishi na mme wangu

Nimesafir alhamis jmos akaja kwangu wifi angu na rafiki ake wapo chuo...mume kesho yake akanitaalufu tumepata mgeni wf na rafik ake

Ambacho nilishangaa haijawah kupita wk 2 sijawasiliana na wf angu lkn kaja wala hajaniambia kafika hajanikuta hata msg tu hajaniambia nami nikanyamaza

Kinachoniwazisha Leo nimempigia mume saa 4 usiku anapokea yupo kwenye kelele ananiambia katoka out nawagen
Nachoshangaa tangu nimemfaham huyu baba miaka 2 hajawah kunitoa out nishambembeleza badae nikaona nimtu ambae hana interest hizo...nashangaa Leo aiseee
last easter nilimwambia baba jion tusipike hatuna mtoto twende tukae sehem tule turudi nyumban uzur wote hatutumii kilevi akakataa najiuliza na nimeshangaa Sana leo
Huyu rafik wa wifi ni wa muda mrefu tu tangu tunaishi jiran na wanaposomea walikua kila week end wanakuja kwa jamaa j3 wanarudi chuo wakati atujaanza kuishi wote

Nawaza labda ni wivu wangu tu!!
Kwann wf ata asinijulishe wala sms tu yupo kimya!!
Kinachoniuma zaidi mke sijawah kutokewa out hata ya soda tu
Bora hata angeniambia before maana nimempigia saa 12 jion alikua nyumban tu
Aiseee usingizi haujii
mlambe tigo yke
 
Pole sana...

Wasi wasi ndiyo akili...

Nadhani ni wivu kwamba,yeye hakutoi out ila wengine ametoka nao...

Cc: mahondaw
 
acha kutengeneza mambo yasiyokuwepo, jifunze kutokutengeneza matatizo kwenye mawazo yako.
 
Dada zetu huwa wanatabia ya kutupatia "loose ball".
Anakuletea mpaka ndani kazi inabaki kwako tu.
On a serious note, urafiki wa karibu wa wifi yako na huyo rafiki yake una sababu kubwa.
Dada hapo ni geresha tu, mgeni hapo ni wifi yako huyo rafiki yake amekuja kwa bwana ake.
Pole Sana maana ukiendelea kujiuliza maswali utavuna mabua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom