Kila mwanamke anazaliwa na mapenzi ya kweli

Kila mwanamke anazaliwa na mapenzi ya kweli

Sijaelewa.... natamani nielewe maana naona nipo tofauti na waliowengi.

Heshima ni nini? mifano yake
kupenda ni nini?mifano yake
Heshima nikama vile unarudi home unakuta wife anagombana na mademu wenzake mwanaume unatumia mamlaka uliyokabidhiwa kikatiba unatoa tamko wife nenda ndani na unyamaze kimya , ukiona demu kanywea kaingia zake ndani huku jirani bado anaendelea na kutukana yaani mwanaume atakupenda zaidi kuona alikuambia ukamsikia , sio mademu wa kitaa anakubishia mbele ya hadhara , anakujibu nisipokwenda utanifanya nini ? , hapo kinachofuata ni kidume kumtia makofi maana ushatiwa aibu ufanye nini tena .
 
Hebu dhana hii chukulia kwa kijana wa kiume ambaye hakuwahi kuwa na mpenzi wala kujihusisha na mapenzi hapo awali halafu akutane na huyo mwanamke aliyetendwa aanzishe mahusiano so yeye ndiyo awe mara ya kwanza kwenye maisha anaingia kwenye mapenzi halafu akatendwa we unadhani nn kitatokea aua mawazo ya huyo boy yatakuwaje?
 
Back 2010 ndo nilikutana nae huyu first girl to me, aliniwekea mazingira ya kukaa nae muda mwingi (stories,walks outings etc) ......

ile hali ilifanya nijitoe mno kwake yani ilifika kipindi hata nikiona nguo nzuri huko town basi nitaitungua Rey apendeze....but unfortunately after just 8 months aliniacha kimya kimya tu akaendelea date na other mens.....

kichaa sio kichaa nilikuwa kama naanza kupoteana but still mpaka leo ile true love ya mtu wa kwanza niliemtunuku Rey sijaweza pata sehemu ya kuitoa nahata yeye nimemtafuta ila sijamuona tena
You r not alone brother!
 
She played with yo feelings, she is doin again with other men... kinda like her tricks, lol.... but sorry bro.
 
Hili nilikuwa silijui....

Mbona lakini kwa uzoefu wangu wanawake ndiyo huwa wanapenda zaidi!

Utakuta mtaani wanawake wanamgombania mwanamme. Mwanamke anafanya kila namna ijulikane mwanamme fulani ni wake.

Sisi ndiyo tunawazingua mara nyingi zaidi...wanalia, wanalalamika, wanasema wanatupenda tunawaumiza.

Au kupenda ni kupi! tusaidiane wakuu.
Lol, kumbe hujawaelewa wanawake bro ngoja nikueleweshe hapo....
1; Mwanamke kumgombania mwanaume doesn't mean anampenda sana, anaweza kumgombania kama ana maslahi nae (kifedha au kuuza nae sura mara nyingi)

2; Atamgombania katika kumkomoa yule mwanamke mwingine, (i can't have him and i will never allow anyone to have him) basi atarusha ngumi na mbwembwe nyingi mtaani pakishatulia tu anakubwaga hautoamini kama ni yeye yule aliyekua anarusha vyupa na maneno makali.

Kumuelewa mwanamke ni mpaka kwanza uielewe Bahari imeanzia wapi na kuishia wapi.
 
Kiukweli ngoja niseme wanawake wa kinyakusa wana mapenzi ya dhatii kabisaa sijui kwann

Nirud kwenye madaa wanaume ndio chanzo kikuu cha kumbadilisha mwanamke na baadae mwanamke huyo huyo anakuwa mbayaa zaidiii.

Naandika nafuta ngoja nisome tena vizuri
Wewe nani kakubadilisha?
 
Nimekumbuka mara ya kwanza na ya mwisho kupenda enzi za sekondari huko. The love was pure and deep!

Yani nakumbuka vile heartbeat ilikua inasoma 260 kwa dakika nikimuona yule binti. Asipokuja shule basi nakosa raha siku nzima naishia kutoroka narudi home.

She was not even among the school beauties, ila mzee nilidondoka mzima mzima. I wish i could go back to time!

Apart from my mom, she is the only female who made me feel weak to her. That was the first and last time i fell in love, and the only thing i got was a lesson!

Mazingira tunayokulia yanahusika kwa asilimia 75, na aina ya tabia tunazoziishi.

So whether it's a man or a woman, atakupenda kama mazingira aliyopitia yatamruhusu kufanya hivyo. Nikisema mazingira namaanisha ndugu na marafiki waliotuzunguka, na hata hali zetu kiuchumi.

Trust me, loving each other is not enough!

[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
I feel you bro, those times akikukaribia you feel a butterflies in a stomach, lol those times for sure.

When i was lil niliwahi kua crazy in love, siambiliki sishikiki, siku moja mama akaniuliza
"what is wrong with you douta?"
"I'm in love mama"
akaniangalia kwa upole na kunishika bega,
"Baby your not in love, your just a kid who lost your way, when you grow up, you will know what love is...."

Yale maneno yalinipa nguvu nikasimama tena na kweli after few years nikajua it wasn't even love, balehe ndio ilikua inanipeleka hahaha.
 
And the butterflies are never to be felt again in the stomach. Anyway, we need a time machine!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom