Hii falsafa nadhani haifanyi kazi kwa wanawake wote.Mwanamke huwa anajifunza kumpenda mwanaume...jinsi mwanaume anavyomuonyesha kumjali na kumpenda nae anampenda...ila mwanaume ndio anapenda...mwanamke anajifunza...
Ila sasa mwanamke akipenda anazama mpaka basi...
Wewe ndiyo unanajisi jukwaa sababu mkeo na ukoo wake ni vimeo unajumlisha kabila lote?
Kama mkeo ni walu walu ni wewe Mkuu.
Basi andika vizuri ueleweke, nilikujibu kutokana na comment yako hasa nilipoona umeandika 'nimehuko' nikajua umemaniisha umeoa huko.Sina mke Mnyaki mie, unatakiwa uwe na roho ngumu kuishi na hao watu, wanisamehe kama wamo humu, bora hata mhaya anauhafadhali
Mimi binafsi huwa napenda, tena huwa napenda deeply. Na nikiacha kukupenda naacha mazima. No turning backNatafuta mwanamme wa kunieleza kama sisi ndiyo hupenda.
Naomba uzoefu wako.
Nipe dress code yako me nimevaa tishet white na black jeanzNipo hapa mbona sikuoni...! Au changa la macho...
Nimevaa kigauni cha red... ' miguu ya bia' geuka mi nishakuona[emoji3]Nipe dress code yako me nimevaa tishet white na black jeanz
Back 2010 ndo nilikutana nae huyu first girl to me, aliniwekea mazingira ya kukaa nae muda mwingi (stories,walks outings etc) ......Share your experience brother.
Wht happened!
Not true muda mwingine girlz just want to spoil the fun in men livesMwanamke huwa anajifunza kumpenda mwanaume...jinsi mwanaume anavyomuonyesha kumjali na kumpenda nae anampenda...ila mwanaume ndio anapenda...mwanamke anajifunza...
Ila sasa mwanamke akipenda anazama mpaka basi...