Kila mwanamke anazaliwa na mapenzi ya kweli

Kila mwanamke anazaliwa na mapenzi ya kweli

Back 2010 ndo nilikutana nae huyu first girl to me, aliniwekea mazingira ya kukaa nae muda mwingi (stories,walks outings etc) ......

ile hali ilifanya nijitoe mno kwake yani ilifika kipindi hata nikiona nguo nzuri huko town basi nitaitungua Rey apendeze....but unfortunately after just 8 months aliniacha kimya kimya tu akaendelea date na other mens.....

kichaa sio kichaa nilikuwa kama naanza kupoteana but still mpaka leo ile true love ya mtu wa kwanza niliemtunuku Rey sijaweza pata sehemu ya kuitoa nahata yeye nimemtafuta ila sijamuona tena
Daah alikucheza mzee... hizi hatua zipo hadi kwa wanaume...

Huwa ukishampenda mtu akaja akakuangusha basi kupenda tena kwa kiwango kile ni 50 kwa 50.

Ningeambiwa niwashauri wanaume wote...ningewaambia msipende waache watupende sisi.
 
Kwa Wanaune Wote

√Mwanaune haitaji upendo kutoka kwa mwanamke. Mwanamke ndiye anayehitaji upendo kutoka kwa mwanaume.

√ Mwanaume anahitaji "HESHIMA" kutoka kwa mwanamke.

Heshima ndio msingi wa mahusiano kati ya mwanaume na mwanamke. Kama mwanamke akiwa na heshima kwa mwanaume haitaji hata kusema anampenda kwakuwa heshima ile tayari ina reflect upendo.

Kama mwanamke hakuheshimu mzee baba huyo mkache.

Mwanaume kwa mwanamke usitafute upendo bali heshima.
 
Hili nilikuwa silijui....

Mbona lakini kwa uzoefu wangu wanawake ndiyo huwa wanapenda zaidi!

Utakuta mtaani wanawake wanamgombania mwanamme. Mwanamke anafanya kila namna ijulikane mwanamme fulani ni wake.

Sisi ndiyo tunawazingua mara nyingi zaidi...wanalia, wanalalamika, wanasema wanatupenda tunawaumiza.

Au kupenda ni kupi! tusaidiane wakuu.
 
Hili nilikuwa silijui....

Mbona lakini kwa uzoefu wangu wanawake ndiyo huwa wanapenda!

Utakuta mtaani wanawake wanamgombania mwanamke. Mwanamke anafanya kila namna ijulikane mwanamme fulani ni wake.

Sisi ndiyo tunawazingua mara nyingi...wanalia, wanalalamika, wanasema wanatupenda tunawaumiza.

Au kupenda ni kupi! tusaidiane wakuu.
Heshima ndio inakufanya uone kama anakupenda. Na ndio tafsiri yake.

Heshima ndio kitu muhimu.
 
Kiukweli ngoja niseme wanawake wa kinyakusa wana mapenzi ya dhatii kabisaa sijui kwann

Nirud kwenye madaa wanaume ndio chanzo kikuu cha kumbadilisha mwanamke na baadae mwanamke huyo huyo anakuwa mbayaa zaidiii.

Naandika nafuta ngoja nisome tena vizuri
Aisee, wanyakyusa eeh, haya
 
Daah alikucheza mzee... hizi hatua zipo hadi kwa wanaume...

Huwa ukishampenda mtu akaja akakuangusha basi kupenda tena kwa kiwango kile ni 50 kwa 50.

Ningeambiwa niwashauri wanaume wote...ningewaambia msipende waache watupende sisi.
Kabisa mkuu ila ile kuachwa huwa ni sababu ya kupata akili siku nyingine usiumie tena....
 
Heshima ndio inakufanya uone kama anakupenda. Na ndio tafsiri yake.

Heshima ndio kitu muhimu.
Sijaelewa.... natamani nielewe maana naona nipo tofauti na waliowengi.

Heshima ni nini? mifano yake
kupenda ni nini?mifano yake
 
Mwanaume onyesha upendo Mwanamke atakuonyesha mapenzi.
hii cjui inakaaje kwa hapa?
 
Mwanaume onyesha upendo Mwanamke atakuonyesha mapenzi.
hii cjui inakaaje kwa hapa?
Mara nyingi unacho mfanyia mtu basi utafanyiwa vile vile... na utamfanya awe vile unavyomfanyia.

Mimi navyojua sio wanawake sio wanaume wote tunapenda...
 
Sijaelewa.... natamani nielewe maana naona nipo tofauti na waliowengi.

Heshima ni nini? mifano yake
kupenda ni nini?mifano yake
Mwanamke akikuheshimu kama ni mwanaume unayejitambua utampenda tu, wanawake wanapenda kwa mioyo yao, wanaume wanapenda kwa akili na macho yao, ndio sababu unasikia mwanaume kakamatwa maana yake ni treatment aliyopewa mpaka akili yake imehamia hapo.
 
Nimekuelewa wewe mkuu.

Ukisema wanawake hawapendi wanaheshimu kiufupi umesema wanawake hawana upendo.

Na nadhani Mtu akikupenda
-Atakuheshimu
-Atakujali
-Atakuthamini n.k

Heshima wote tunaheshimiana... Sidhani kama usipomheshimu mkeo kama naye atakuheshimu.....
 
Mwanaume onyesha upendo Mwanamke atakuonyesha mapenzi.
hii cjui inakaaje kwa hapa?
Hata maandiko yamesema mume mpende mkeo, mke mheshimu mume, Huu ndio muongozo wa mambo yote, na mahusiano siku zote ameyashika mwanamke, akiamua yanakuwa mazuri matamu kupita asali, au yawe ya kawaida tu au machungu kabisa. Ukitafakari kwa kina muongozo huu, utaelewa.
Hata michepuko inayotaka kuiba mume wa mtu moja kwa moja, huwa inaangalia mapungufu ya mwenye mali tu, aidha kwa kumuuliza jamaa especially wakati wa mechi, au kuchunguza kwa njia zingine.
 
Basi andika vizuri ueleweke, nilikujibu kutokana na comment yako hasa nilipoona umeandika 'nimehuko' nikajua umemaniisha umeoa huko.

Wakarimu, wacha Mungu na wana Upendo ingawa na mapungufu wanayo ila sio kama ambayo unayasema wewe!!
Hahaaa! Nazani we Mnyaki, kwa kusali, ukarimu bashasha wanayo sana hata katika biashara ni wakarimu sana, mm naongelea huko kwenye mapenzi
 
Mkuu dady umeongea fact kwa kiasi fulani, ila kiukweli huo mtililiko wa tabia kwa wanawake ulikuwepo enzi za mababu zetu....hivi sasa, ukiongelea mwanamke yeyote yule awe bikra au sio bikra....wote ni mapicha picha tu, unaweza ukakutana na bikra na bado akawa kisanga, na kwa uwezo wangu mdogo tu wa kufikiri naona hii yote inatokana na Female Empowerment Programs (FEP) ambazo hazina boundaries...

Hizi programs zimeleta ukombozi kwa hawa viumbe wenzetu, ila kwa upande wa pili zimekuwa ni chanzo kikubwa cha mmomonyoko wa maadili ya ndoa/mahusiano ndani ya jamii nyingi za kiafrika.
 
Ndiyo nikasema kuna outliers mkuu.... dunia nayo inaenda kwa kasi.

Kwa hiyo unasema kuna wanawake wengine wanazaliwa hawana mapenzi ya dhati? hahahah
 
Yah wapo, kama wadau walivyoongea hapo juu, mapenzi ya dhati yanaendana na heshima, uthamini n.k. Sasa ukikutana na binti ambaye pengine mama yake kashalishwa sumu ya kwamba "kumuheshimu mumeo ni kuwa inferior " then huyo mama, akamlisha mwanae sumu hizo hizo...unafikilia huyo binti atakuwa kiumbe wa aina gani hapo?.
 
Back
Top Bottom