Kila mtu wa Dar ni tapeli

Mtu akikugusa kidogo tu kwenye daladala, lazima ujishishike mfukoni kuangalia simu na wallet zipo.
Kuna siku nataka kupanda daladala, abiria wamejaa mlangoni, niko pembeni nasubiri waingie wakatokea vijana 2 bangi nyingi, Vipi mdogo wetu umepata seat, au tukuwahie? Kabla sijawajibu nikaangalia usalama wa pochi kwanza, ilikuwa upande waliokuwa wao. Nilivyoona kila kitu kipo sawa ndo nikawajibu😁.
 
Dar kuna vituko we acha tu...yaani ni sawa na mitandaoni kila mtu ni taita vibaya, kila mtu ni msomi..
Amang'ana ghano namakongh'u
Namakong'u mura weito ila umanyire igha wanayatafuta wenyewe kwa fix zao
 
Pole jomba ushalizwa
 
Karibuni huku kwetu nanjilinji tulime, mashamba bure kabisa ni nguvu zako tu.
 
Umepigwa tukio kubwa sana sasa unalia nini

USSR
 
mkuu umeandika kwa hisia sana
tusameheane kiongozi maisha magumu mjini huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…