Kila mtu wa Dar ni tapeli

Dar kuna vituko we acha tu...yaani ni sawa na mitandaoni kila mtu ni taita vibaya, kila mtu ni msomi..
Amang'ana ghano namakongh'u
 
Kikikisi watata
 
hahaha nilikuwa naitaka hi comment nkajua ni mimi tu kumbe wengi hi akili inatujia
Kabisa acha kuuliza uliza ukifik nenda kwa boda tena sasaiv wame rahisisha kuna bolt una request una fika sehemu ya tukio ila hii ya kutaka uonekane wewe mgeni mbaya sana hii
 
Mimi mwaminifu 100% plus. Tuko watu tunaojitambue usiogope.
 
Pole uncle

Msiwe mnatuma hela kwa wale kina Asha mtundu na kina Salha mautamu huko telegram…, baada ya muamala kusoma anaku-block kila sehemu na huku kakuacha na imagination kibao!

Dar na utapeli ni kamasi na pua 😄👍🏾
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…