kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 16,247
- 16,169
Kila anashangaa kwanini umeme lazima ukatike sila siku kuanzia mijini hadi vitongojini, hata baada ya kuambiwa bwawa la Nyerere linafanyakazi Sasa, mvua zinanyesha mabwawa yote yamejaa na Tanzania tuna umeme wa geai. Katikakatika hii inasababisha hasara kubwa sana kwa watumiaji hivyo kero, hasira, kejeli na matusi kwa TANESCO na watendaji wake