Kila mtu aache unafiki

Kila mtu aache unafiki

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,474
Reaction score
4,007
Mtu anakukosea au mwenzio anakufanyia kitu kibaya eti unakaa nacho moyoni hutaki kumwambia na unaendelea kusalimiana naye tu vizuri na unacheka huku moyoni ukiwa na maumivu, je wewe umekuwa MTUSI/ MHUTU ? mpe makavu laivu AJUE ALIKOSEA NA ALIKUFANYIA AMBAVYO SIO AJUE KABISA.

Mke au mume anatoka nje ya ndoa au ana chepuko unakaa kimya eti unavumilia tu kwa nini usimpe makavu, kwanini unateseka hayo magonjwa utaweza kuyatibu baada ya kukaa na maumivu kwa muda mrefu, acha ujanja wa kusema eti namlia hela kwanza, iyo pesa haitatibu magonjwa ya moyo, presha na vidonda vya tumbo na anaweza akakuacha ukabaki nayo na hela ikaisha unabaki unahangaika mwenyewe.

Eti namuogopa ni mkwe wangu au shemeji yangu hata nisaidia nikikataa kufanya naye mapenzi wewe akiwa na ukimwi, akikupa ujauzito akikuharibia maisha itakuwaje, mwambie ukweli haifai.

Kuna mmoja aliniona bwege kabisa, akiwa na shida ndio atanitafuta kwa bidii siku yote hiyo, asipokuwa na shida ahaha atakwambia yuko buzy na unaweza ukamtafuta weekend usimpate eti ana wageni ila akiwa na shida anakuja fasta kwenye mtandao mawasiliano yanaanza nikaona hapa nikimwambia kitu flani atakasirika basi nikamchokoza achukie ili nikimbie mazima hadi leo na siwezi pokea simu zake.
 
Eti tunatofautiana kwenye kuhandle mambo

Wengine hatuwezi kukaa nayo moyoni tunasema tu wengine wao wanajidai wasiri wanakufa nayo, siwez kufa na mizigo ya mtu hata siku moja niteseke mtu akae kwa amani unaongea tu nako mtu kubadilika ndio mtihani unaishia kusema n mapungufu yake

Heri kufa macho kuliko kufa moyo, tujiwekee utaratibu wa kuongea inasaidia unakua na amani ya moyo
 
safi sana, uko vizuri, mwingine anasema huyo ndo alivyo nimesha mzoea mwacheni tu na huku unaendelea kuumia kwa matendo yake ahahaha magonjwa mengi yanatokana na watu kujidai ni wavumilivu acha wafe an uvumilivu wao.
 
Uvumilivu nao una kikomo unavumilia na bas mtu aone unamvumilia abadilike ndio kwanza visa vinazidi ah watu tumekutana sote tu watu wazima tunajua zur na baya tuanze tena kufundishana jinsi ya kubehave au kusimama nafas yako kama mwanaume au mwanamke, inakera
 
basi wewe unaitwa padri chris
sio padri na siitwi padri, akufanyie kitu halafu uone kama hamu haita kutoka mdada anadiriki kukwambia ukapimwe akili kisa umemwambia akupe kitu ambacho kimo ndani ya uwezo wake sasa hapa utakuwa na hamu na watu wenye midomo michafu kama hao eti kweli utaendelea?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom