Kila mtoto na lap top yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kila mtoto na lap top yake

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Ami, Apr 29, 2010.

 1. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2010
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  UN imeanza na GAZA ambapo kila mtoto wa shule atapatiwa lap top yake.Tanzania baadae kidogo.
   
 2. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,817
  Likes Received: 1,160
  Trophy Points: 280
  sio gaza mkuu,imeanzia kigali rwanda,laptop km 15000 zimegawiwa mashuleni,kila mtoto kagawiwa laptop na wamesema zingine zinakuja ifikapo 2015 kila shule mwanafunzi lazima awe na laptop,wakati asilimia 95 ya wananchi wako kizani umeme hakuna,inachekesha sana.
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  ni vichekesho vya ulimwengu hivi.....rwanda + kila mtoto na laptop = kuchekesha waliojinunia zao
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kuna watu wana akili
  jamaa washaanza kuandaa masoko yao ya miaka ijayo kwa mgongo wa msaada. Hiyo ndiyo Microsoft anajaribu ujanja wote kufunika opena source washidani wengine . Anyway upande mwingine ni faida kwa sisi masikini
   
 5. JM Aristotle

  JM Aristotle Senior Member

  #5
  Apr 29, 2010
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo tunaona kama kichekesho, subiri kesho...
   
 6. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #6
  Apr 29, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Nadhani ni mpango wa Presdaaa, na pia nasikia kawapeleka wengi sana shule nje ya nchi. Inawezekana anaandaa MAISHA BORA KWA KILA MNYARWANDA. tukumbuke Roma haikujengwa siku moja
   
 7. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #7
  Apr 30, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  hapana preta si kichekesho, ni maendeleo hayo.
  kagame naona amejaaliwa kusoma alama za nyakati, ndy maana wanyarwanda wanatambaa kwa honda ssisi na sisiem tunapiga makasia!
  vile vitoto vilivyopata bahati ya shule yao kuwa pilot kwenye mradi huu vinatia moyo sana kama unafuatilia habari hizi! tusubirini kidogo tu....
   
 8. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #8
  Apr 30, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Wa kwetu hata vyumba vya madarasa na madawati hawana hizo laptop watazipata kweli na kuziweka kwenye vumbi? Hiki tu ndio kinaweza kunifanya nione ni kichekesho cha mwaka.
  Otherwise ni jambo zuri na la kawaida kabisa.
   
 9. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #9
  May 7, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  rwanda ni nchi ndogo kulinganisha na tanzania,One laptop per child inawezekana tz,ila itbidi tuuze maVX na mashangingi ya wabunge,tuondoe Siting Allowance,tuondoe PaDiem,tuondoe posho za kuhudhuria mafunzo elekezi,semina,Je mishahara itatosha ,ukweli haitoshi,so the sad answer is one laptop per child can only work in RWANDA ,kwani wao wamefanya vyote nilivyosema hapo juu,wamebana matumizi yasioyo lazima ili watoto wao wapate elimu then watatutawala na kutuongoza watz,wakenya ktk East Africa Federation
   
Loading...