Kila mtoto duniani lazima afanane na baba yake.

Huu ndio ukweli.
Uzae mtoto wa kiume au wa kike lazima atafanana na wewe baba yake.
Baba yetu ana watoto karibu 20, na wote kafanana nao kwa sehemu fulani bila kujali jinsia zao.
Mungu ameamua kufanya hivi ili kumpa baba imani zaidi au uhakika na uhalali wa mtoto wake.
Huwezi kuwa na daught juu ya mtoto ni wako au umepigwa chenga .
Mungu alijua wanaume sisi ni watata hatuuvumilii usaliti that's why anaamua hivyo.
Mtoto wa mke wako asipofanana na wewe huyo mtoto si wako bali wa mke wako. Mlee tu ili upate thawabu.
Naona unataka BABA PAROKO 92 azidi kuchanganyikiwa
Napata shida yaaani !
 
Huu ndio ukweli.
Uzae mtoto wa kiume au wa kike lazima atafanana na wewe baba yake.
Baba yetu ana watoto karibu 20, na wote kafanana nao kwa sehemu fulani bila kujali jinsia zao.
Mungu ameamua kufanya hivi ili kumpa baba imani zaidi au uhakika na uhalali wa mtoto wake.
Huwezi kuwa na daught juu ya mtoto ni wako au umepigwa chenga .
Mungu alijua wanaume sisi ni watata hatuuvumilii usaliti that's why anaamua hivyo.
Mtoto wa mke wako asipofanana na wewe huyo mtoto si wako bali wa mke wako. Mlee tu ili upate thawabu.
Je mtoto akifanana na mama yake utasemaje? Mbona si kweli kuwa lazima watoto wafanane na baba zao. Kuna baba mashujaa walizaa wajinga na wapo wajinga waliozaa wajuzi. Hakuna kanuni hapa ya nani afanane na nani.
 
Unayo scientific evidence au umeandika kwa utashi wa matamanio yako tuu?
 
Huu ndio ukweli.
Uzae mtoto wa kiume au wa kike lazima atafanana na wewe baba yake.
Baba yetu ana watoto karibu 20, na wote kafanana nao kwa sehemu fulani bila kujali jinsia zao.
Mungu ameamua kufanya hivi ili kumpa baba imani zaidi au uhakika na uhalali wa mtoto wake.
Huwezi kuwa na daught juu ya mtoto ni wako au umepigwa chenga .
Mungu alijua wanaume sisi ni watata hatuuvumilii usaliti that's why anaamua hivyo.
Mtoto wa mke wako asipofanana na wewe huyo mtoto si wako bali wa mke wako. Mlee tu ili upate thawabu.
Kama ni watata huyo mtoto asie wake atalelewa vipi sasa ?
 
kwakweli katika hili swala tukiacha unafiki kuna ufahari fulani si kwa mwanaune tu hata kwa mwanamke aliyewazaa,watoto kufanana na baba yao.

mimi nimekua katika familia iliyonilea,walipata mapacha.
wakike alienda kwa baba mpaka rangi,wa kiume akaenda kwa mama mpaka rangi.pale ndipo nilijifunza haya mambo.
mtu akija ghafla akakutana na wa kiume na baba yake atasema wanafanana.ila akija kumwona mama yake anatengua kauli tena,vivyo hivyo na kwa wa kike.nilikuja kugundua baadae wa kiume amefanana na baba yake paji la uso na macho.

mimi binafsi nimekuja kugundua nafanana sana na baba yangu baada ya kupata watoto,wamefanana na babu yao sio kidogo,maana ni vigumu wewe mwenyewe kujifananisha.
Jidanganye kumbe baba ako ndo alipita kwa mkeo
 
Yote Tisa kumi Ni alama za mistari kweny viganja vya mkono wa kushoto km Ni ndo MTT wa kwanza kwako na huyo mke uliyezaa nae lazima mistari ya mkono wa kushoto mfanane..Lazimaaaa
 
Talifanyia kazi Mkuu
 
Je mtoto akifanana na mama yake utasemaje? Mbona si kweli kuwa lazima watoto wafanane na baba zao. Kuna baba mashujaa walizaa wajinga na wapo wajinga waliozaa wajuzi. Hakuna kanuni hapa ya nani afanane na nani.
Acha kujitetea. Mtoto kwa baadhi ya mambo lazima asadifu kwa baba yake.
Suala la kufanana na mama yake lipo Ila si la lazima sana
 
Back
Top Bottom