Hahahahaaaa wallah Mr Rocky wote watakana kuwa sio wao
Hawawezi kukana mshana jr maana hapo kila mmoja anawaza namna ya kupiga hela ndefu ya maisha na hapo kama miss chagga kama alivyosema Khantwe anawaza namna ya kumalizia ghorofa lake
Hahaahaaaa nawasubiri kwa hamu kubwa ila lazima mmoja atajitoa ufahamu aseme ni fotoshopu
Mr Rocky kimeshanuka kabanga anakusakaHaswa haswa binamu yangu ladyfurahia hatakubaliana na hilo kabisa ila miss chagga yeye hatabisha
Hawawezi kukana mshana jr maana hapo kila mmoja anawaza namna ya kupiga hela ndefu ya maisha na hapo kama miss chagga kama alivyosema Khantwe anawaza namna ya kumalizia ghorofa lake
nimeshamshika mtu maskio hapa nasubiria cheki tu napauwa soon
Kweli wewe miss chagga umeaga kwenu huna mchezo
stevoh yule mpya atakuja kukana lakini noshamtoa mihela
Shindwa pepo