TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 6,551
- 20,260
Yatawaua hayo ------ yani mtu na akili zako ukose umakini kisa ------ mbona kuna wanaume kibao wana ------ hips na viuona vimebinuka hamuwaoni siyo dili wa nini acheni ujinga sameni wapumbavu nyie wenzenu ulaya wanayatoa nyie huku matakomatako nendeni kule maskini wa akili na ufikiri na ufahamu wangalieni kama mamwehu vile kachomeni sindano na nyie yavimbe hamna haya wanaume wazima eti mikono mifukoni kama si ujinga nini huo,
Hizi reference za ulaya mi huwa zinanichefua! Kwani ina maana kitu kama ulaya hakipendwi ni lazma na sisi tusikipende?Acha kuendekeza ukoloni wewe! Mbona wao ulaya wanapenda ma nido sisi hatusemi? We inaelekea ni mwanamke na umepigwa pasi ndio maana unalalamika sana! Kwenda huko..!