BUCHANAGANDE
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,512
- 482
That is mapambo kwa wanaume so lazima yajaradiwe na kunakishiwa kichina china ili yalete attraction kwa wanaume.
tha tha kwanini hamtaki watu wa level yenu? Unaona hapo mnawatendea haki kweli
Haki?kwan cha kwao ss jmn,mtu chake jaman
Kwaiyo kwakua sio chao hamuwapi duh'? Acheni ubinafsi bana ujue mna wa affect ki akili
teh teh teh..........wasubiri wakikua
Wakue mara ngapi jamani? au kwakua hawana mpunga na moto kaa ndio maana mnawatenga?
Pesa ni kila kitu lakin haiwez nunua upendo...........!
Ila inaweza kutengeneza upendo.. wazee wanaliwaga pesa zao tu duh! Huku hawapendwi?
Ndo maana yke..............!
Mbona me nasom saut ap mza na hayo ------ kwa hao dadaz weng unaowaseema siyaon?sinamacho basiii
Embu tudiskasi hii ki2? Asilimia 85 ya kina dada wamejazia makalio yao hadi wengine unawaonea huruma kama yanawaelemea vile, au kuna aina ya chakula wanakula ambacho kinakuza iyo mambo? Hapa nipo chuo kikuu cha sauti mwanza, nimechoka kuona hizi mambo asee, kila mdada kajazia ile mbaya
Mnapenda mpk choo...........!
Mgeni akikaribishwa sehemu ya kwanza kuonyeshwa ni choo, jiulize
Embu tudiskasi hii ki2? Asilimia 85 ya kina dada wamejazia makalio yao hadi wengine unawaonea huruma kama yanawaelemea vile, au kuna aina ya chakula wanakula ambacho kinakuza iyo mambo? Hapa nipo chuo kikuu cha sauti mwanza, nimechoka kuona hizi mambo asee, kila mdada kajazia ile mbaya
Ebu simama mbele ya dressing table yako kisha jiangalie kama huna hilo zigo la kichina.
Na kama kweli huna basi ntaleta 'POSA'fasta.