Kila la kheri wahitimu SUA....!!!

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,597
5,788
Napenda kujumuika na watanzania wenzangu kuwatakia kila la kheri wahitimu wote wa SUA-SOKOINE UNIVERSITY.

Animal Science, Veternary Medicine, Tourism, Agri. General, informatics, Education n.k. Jamii inawahitaji. On love.

Wengine wanapoke first degre, masters na phd, mungu awe nanyi.

Elimu mliyoipata iwe na faida kwa jamii.

ONE LOVE...........
 
Best of Luck Rural development, agronomy, Forest, wildlife, extension, n.k
 
Kuna kila haja ya kuwapongeza, Agr. Eng wamekula semistes 8, BVM wamekula semister 10.

Wote mliofanikiwa kumchomoka Sembuche. Ebwana one Love.
 
Namtafuta mwenye ujzi wa kutengenza vyakula vya mifugo tuude kampuni twende benk ya kiislamu iliyoanzishwa jana tuchuke mkopo usio na riba tujiajiri wenyewe hii tabia ya kuipigia serikali magoti kuomba ajira na ujuzi tele kichwani ni kujidhalilisha.
 
Mkuu umenikumbusha sembuche mzee wa pikipiki kubwa na masendeu, mzee wa MB 100, ila mbona umemsau Elisande mzee wa Ps 100? Na wale wazee wa Animal science wakorofi? Kikuli je unamkumbuka?
Kuna kila haja ya kuwapongeza, Agr. Eng wamekula semistes 8, BVM wamekula semister 10.

Wote mliofanikiwa kumchomoka Sembuche. Ebwana one Love.
 
Wahitimu Sua taifa linawategemea katika kila sekta.msiende kukaa mtaani kwa kujibweteka kua ajira hamna jamani..
 
Napenda kujumuika na watanzania wenzangu kuwatakia kila la kheri wahitimu wote wa SUA-SOKOINE UNIVERSITY.

Animal Science, Veternary Medicine, Tourism, Agri. General, informatics, Education n.k. Jamii inawahitaji. On love.

Wengine wanapoke first degre, masters na phd, mungu awe nanyi.

Elimu mliyoipata iwe na faida kwa jamii.

ONE LOVE...........

Mungu awabariki wote
 
Wasije wakalisahau lile lifaculty maarufu kwa kuramba vichwa FACULTY OF SCIENCE
 
Namtafuta mwenye ujzi wa kutengenza vyakula vya mifugo tuude kampuni twende benk ya kiislamu iliyoanzishwa jana tuchuke mkopo usio na riba tujiajiri wenyewe hii tabia ya kuipigia serikali magoti kuomba ajira na ujuzi tele kichwani ni kujidhalilisha.

benki ya kiislam? Douglas ni jinalo halisi au...
 
Wasije wakalisahau lile lifaculty maarufu kwa kuramba vichwa FACULTY OF SCIENCE

wakati nipo Sua, kuchukua elective inayotak FoS ilikuwa ni sawa na ku-risk maisha yako.
 
Back
Top Bottom