Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,775
- 28,222
WametoboaNaona anaongoza moja noa
WametoboaNaona anaongoza moja noa
Nina matumaini makubwa na hawa majirani zetu na ndugu zetu waliopo ndani ya bara la Afrika, Algeria, Morocco, Tunisia na Egypt, naimani nao watafika mbali na kutukndolea machungu.
I wish all the best to all four teams from North africa, tunawapenda pia.
Angalau Afrika imepeleka timu tatu.Timu za Afrika zilizoweza kufuzu world cup 2022 ni
-Ghana
-Senegal
-Cameroon
-Tunisia
-Morocco