Accountability was sent on paid leave and corruption appointed in darkness where counts of votes were by show of hands onlyNIDA walipewa shilingi bilioni 179.6 kwa ajili ya kutengeneza vitambulisho vya taifa.Vitambulisho walivyotegeneza na kugawia wananchi ni milioni mbili.Ukigawa pesa walizopewa na vitambulisho walivyotengeneza utapata jawabu kuwa kila kitambulisho kimoja kimegharimu shilingi milioni 89.8.
Nchi hii ina wezi.Ndio maana Maghufuli kweli ana hasira nao.
Hii ni trillion moja.
Ebu cheki mdogo mdogo tueleweshane!
10 ni kumi
100 ni mia moja.
1,000 ni elfu moja.
10, 000 ni elfu kumi.
100, 000 ni laki moja.
1,000,000 ni milioni moja.
10,000,000 ni milioni kumi.
100,000,000 ni milioni mia.
1,000,000,000 ni BILIONI moja au milioni elfu moja.
10, 000,000,000 ni bilioni kumi.
100,000,000,000 ni bilioni mia moja.
1,000,000,000,000 ni bilioni elfu moja au TRILIONI MOJA.
DuuuuuuhNIDA walipewa shilingi bilioni 179.6 kwa ajili ya kutengeneza vitambulisho vya taifa.Vitambulisho walivyotegeneza na kugawia wananchi ni milioni mbili.Ukigawa pesa walizopewa na vitambulisho walivyotengeneza utapata jawabu kuwa kila kitambulisho kimoja kimegharimu shilingi milioni 89.8.
Nchi hii ina wezi.Ndio maana Maghufuli kweli ana hasira nao.
Nafikiri bilion ina sifuri 9 na sio 12.Bilioni moja ni milioni milioni moja.Ngoja nikuandikie kabisa bilioni moja ina sifuri 12.Kwa tarakimu inaandikwa hivi
1,000,000,000,000
eti nini... sijakusoma mkuuNamwonea huruma miss tanzania,wanavyomdandia tu,kuja kushtuka kazalishwa watoto 8
Hivi tofauti kati ya jmk na jpm ni nini vile
Tofauti naiona kwenye mavazi,jpm anavaa over sizeHivi tofauti kati ya jmk na jpm ni nini vile
Kugawa 179B kwa idadi ya vitambulisho vilivo gawiwa ni makosa makubwa maana ndani ya hizo pesa kuna capital investment kama majengo (yaliyo jengwa kama data center na data recovery), ofisi karibu kila wilaya, magari, vifaa vya kusajilia, ambavyo gharama zake ni one time investment... unapo sema vitambulisho 2m vilivo gawiwa kuna vitambulisho vingi tu havijagawiwa.... kuna mengi ya NIDA hayafahamiki na nashindwa kuelewa kwa nini NIDA wasiweke ukweli wao pia.... kama wanaogopa kujibu sababu ya insurbodination maana sio vizuri kujibishana na Mh. Raisi basi waandishi wa habari ( investigative journalists ) ndo kazi yao......Aaah!!!!! Kudadadaki!!!! hawa jama wamepiga mpunga wa maana aseeee!!! kumbe JPM yuko sahihi kuwatumbua