Hizo pesa ni general cost za kununua Vifaa, kodi ya majengo nk vitambulisho nadhani havijagharimu hata elf 50,, hyo pesa ni jumla ya pesa ambayo serikali iliipa Nida tangu 2012 mradi ulipoanza, kila program inalipiwa vile vile wala usidhani ni vitambulisho vitatengenezewa hewani bila kununua vitu
Taratibu mkuuHii mijtu ya ccm nna hasira nayo.............
Yehoda, naona unapenda tu kubisha,unatetea hoja yako ambayo unajua sio ya kweli. Hakuna bilioni yenye sifuri kumi na mbili katika dunia hii.Umekosea umechukua bilioni ipi ile ya american bilioni au English BILION?
Bilioni ya mwingireza ina sifuri 12.Bilioni moja ni sawa na milioni milioni
ya mmarekani bilioni moja ina sifuri 9 yaani milioni elfu moja.
Kwa TANZANIA bilioni ni milioni milioni ndio niliyotumia
Nabaki na msimamo wangu Kitambulisho kimoja ni milioni 89.8 sio elfu 89.8 uliyotamka
Ulikua huhudhurii vipindi vya hesabuNIDA walipewa shilingi bilioni 179.6 kwa ajili ya kutengeneza vitambulisho vya taifa.Vitambulisho walivyotegeneza na kugawia wananchi ni milioni mbili.Ukigawa pesa walizopewa na vitambulisho walivyotengeneza utapata jawabu kuwa kila kitambulisho kimoja kimegharimu shilingi milioni 89.8.
Nchi hii ina wezi.Ndio maana Maghufuli kweli ana hasira nao.
We jamaa ni noma yani umeamua kusimamia ujinga wako.Bilioni moja ni milioni milioni moja.Ngoja nikuandikie kabisa bilioni moja ina sifuri 12.Kwa tarakimu inaandikwa hivi
1,000,000,000,000
Swali ni kuwa billioni wanazotumia serikali ni za muingereza au mmarekani na trillioni ni ipi?Nitoe ufafanuzi kwa nini natofautiana na wewe.
Kama umesoma marekani bilioni moja kwa mmarekani ina sifuri 9 nikiandika kwa tarakimu bilioni moja ni ni 1,000,000,000 ukipiga kwa kutumia hii ya wamarekani kila kitambulisho kimoja utapata kimegharimu shilingi 89,800 ULIZOSEMA wewe.
Mfumo wetu wa elimu Tanzania ni wa KIINGEREZA sio kimarekani Kwa mfumo wa kiingereza tunaoutumia Bilioni moja ina sifuri 12.Ukiiandika inakuwa 1,000,000,000,000.Ukipiga hesabu unapata milioni 89.8
WeWE BILIONI YAKO uliyotumia ina sifuri 9 YA KWANGU INA SIFURI 12 .Wamarekani bilioni moja ni milioni elfu moja ambayo ndio umetumia Waingereza bilioni moja ni milioni milioni moja ambayo ndio nimetumia sababu ndio inatumika tanzania
Ni kweli pia zikitumika kwa ajili ya kuwatajirisha MABOSI wa NIDA kwa kujenga mahekalu binafsi fukweni mwa Indian Ocean na kuwekeza vitega uchumi kwa ajili ya familia zao!Hizo pesa ni general cost za kununua Vifaa, kodi ya majengo nk vitambulisho nadhani havijagharimu hata elf 50,, hyo pesa ni jumla ya pesa ambayo serikali iliipa Nida tangu 2012 mradi ulipoanza, kila program inalipiwa vile vile wala usidhani ni vitambulisho vitatengenezewa hewani bila kununua vitu
Billion ya wapi hiyo. Shule za kata MajangaBilioni moja ni milioni milioni moja.Ngoja nikuandikie kabisa bilioni moja ina sifuri 12.Kwa tarakimu inaandikwa hivi
1,000,000,000,000
Watu wa lumumba ebu msaidieni huyu mbulumundu. Anawavua nguo. [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nitoe ufafanuzi kwa nini natofautiana na wewe.
Kama umesoma marekani bilioni moja kwa mmarekani ina sifuri 9 nikiandika kwa tarakimu bilioni moja ni ni 1,000,000,000 ukipiga kwa kutumia hii ya wamarekani kila kitambulisho kimoja utapata kimegharimu shilingi 89,800 ULIZOSEMA wewe.
Mfumo wetu wa elimu Tanzania ni wa KIINGEREZA sio kimarekani Kwa mfumo wa kiingereza tunaoutumia Bilioni moja ina sifuri 12.Ukiiandika inakuwa 1,000,000,000,000.Ukipiga hesabu unapata milioni 89.8
WeWE BILIONI YAKO uliyotumia ina sifuri 9 YA KWANGU INA SIFURI 12 .Wamarekani bilioni moja ni milioni elfu moja ambayo ndio umetumia Waingereza bilioni moja ni milioni milioni moja ambayo ndio nimetumia sababu ndio inatumika tanzania
Unajivua nguo alafu unainama.Bilioni moja ni milioni milioni moja=1,000,000,000,000 ZIDISHA mara 180=180,000,000,000,000
Hapo kwenye 180,000,000,000 ongeza SIFURI zingine tatu ili iwe 180,000,000,000,000 Kisha endelea na hesabu zako
Umekosea umechukua bilioni ipi ile ya american bilioni au English BILION?
Bilioni ya mwingireza ina sifuri 12.Bilioni moja ni sawa na milioni milioni
ya mmarekani bilioni moja ina sifuri 9 yaani milioni elfu moja.
Kwa TANZANIA bilioni ni milioni milioni ndio niliyotumia
Nabaki na msimamo wangu Kitambulisho kimoja ni milioni 89.8 sio elfu 89.8 uliyotamka
Punguza sifuri kwenyw hii Mil.89.9 yako mkuuNIDA walipewa shilingi bilioni 179.6 kwa ajili ya kutengeneza vitambulisho vya taifa.Vitambulisho walivyotegeneza na kugawia wananchi ni milioni mbili.Ukigawa pesa walizopewa na vitambulisho walivyotengeneza utapata jawabu kuwa kila kitambulisho kimoja kimegharimu shilingi milioni 89.8.
Nchi hii ina wezi.Ndio maana Maghufuli kweli ana hasira nao.
Wewe pamoja na kuwa ni mpumbavu, nimegungua kuwa pia ni mjinga sana.Nitoe ufafanuzi kwa nini natofautiana na wewe.
Kama umesoma marekani bilioni moja kwa mmarekani ina sifuri 9 nikiandika kwa tarakimu bilioni moja ni ni 1,000,000,000 ukipiga kwa kutumia hii ya wamarekani kila kitambulisho kimoja utapata kimegharimu shilingi 89,800 ULIZOSEMA wewe.
Mfumo wetu wa elimu Tanzania ni wa KIINGEREZA sio kimarekani Kwa mfumo wa kiingereza tunaoutumia Bilioni moja ina sifuri 12.Ukiiandika inakuwa 1,000,000,000,000.Ukipiga hesabu unapata milioni 89.8
WeWE BILIONI YAKO uliyotumia ina sifuri 9 YA KWANGU INA SIFURI 12 .Wamarekani bilioni moja ni milioni elfu moja ambayo ndio umetumia Waingereza bilioni moja ni milioni milioni moja ambayo ndio nimetumia sababu ndio inatumika tanzania
In British English, a billion is equivalent to a million million (i.e. 1,000,000,000,000), while in American English it has always equated to a thousand million (i.e. 1,000,000,000).
Pesa imeliwa tayari lakini Magufuli anawaogopa sana ndiyo maana anauma na kupuliza hawezi kuthubutu kulitumbua hilo jipu milele.acha wafyeke hizo bilioni
waliajiri ndgu zao na watoto wa wakubwa.
Tena hilo jipu lipo ukeni. Nida wamefanya ujinga sana. Wakajifanya wanaajiri HR law na nk.
Hawezi......unamwonea bureWewe pamoja na kuwa ni mpumbavu, nimegungua kuwa pia ni mjinga sana.
Haya, hebu niandikie shs trlioni moja kwa tarakimu?