Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,047
- 3,784
Kwahiyo tukitaka kupata Return on Investment/value for money si ndio tuta gawanya gharama yote iliyofanya mradi huo ukamilike hadi kuzalisha hizo vitambulisho(salaries..utilities...tax..materials..etc) igawanywe kwa IDs produced ?Hizo pesa ni general cost za kununua Vifaa, kodi ya majengo nk vitambulisho nadhani havijagharimu hata elf 50,, hyo pesa ni jumla ya pesa ambayo serikali iliipa Nida tangu 2012 mradi ulipoanza, kila program inalipiwa vile vile wala usidhani ni vitambulisho vitatengenezewa hewani bila kununua vitu
au kuna logic tofauti na hii?
Kiuchumi hii ndo itakua implication kuwa hadi hizo ids say 2m zimepatikana uliwekeza hizo billions..but specific cost/market price ya kitambulisho inatakua cheap zaidi assuming unazalishia sehemu ambayo hizo cost zingine ziko covered you only pay for IDS