Sawa naungana na wewe, kuwa yawezekana kuna some capital investment k rent and utilities cost, lkn kumbuka kuwa project hii ilikuwa pilot Dar na Pwani pekee hizo data centre and recovery zipo Dar pekee, rent ya ofice Dar ni USD18/Sequire meter hivyo kama watakodi 1000meter squire itakuwa dola 18000x 12months ni sawa na USD216,000 sawa na milioni 430,000 za kitanzania, hapo nimeweka bei ya juu sana, kwa sababu ofisi zao tunazifahamu, makao makuu ipi pale kinondoni jirani na leaders club, ofisi ndogo moja ipo mbezi beach goigi. nyingine ni viofisi vidogo sana ambazo kodi zake haifiki hata milioni 1 kwa mwezi. kwa kununua magari sidhani kama walinunua azaidi ya magari 100 kila gari milioni 50,000/= kwasababu hawana mashangingi wana vi samurai na double cabin amazo gharama yake ni chini ya milioni 50, tufanye bilioni 5-8 kwa hizo gaharama za uendeshaji. utabaki na bilioni 170. nilizopigia hesabu.