Kila kitambulisho cha Taifa kimegharimu tsh 89,800

Bilioni moja ni milioni milioni moja.Ngoja nikuandikie kabisa bilioni moja ina sifuri 12.Kwa tarakimu inaandikwa hivi

1,000,000,000,000
Wewe unaanza kupotosha umma hata kama ulikuwa na hoja ya msingi.
 
Bilioni moja ni milioni milioni moja.Ngoja nikuandikie kabisa bilioni moja ina sifuri 12.Kwa tarakimu inaandikwa hivi

1,000,000,000,000

Hapo ndio ulipobugi na kila siku tunasema humu tatizo lenu misukule ya Lumumba ni elimu ya hapa na pale na iq ndogo. Kama mwenyekiti wa chama gpa ni 2.1 wewe mbulumundu wa Lumumba itakuwa ngapi?

Bilioni moja ni milioni elfu moja
1,000,000,000. Hiyo uliyoandika wewe ni trilioni moja
 
NIDA walipewa shilingi bilioni 179.6 kwa ajili ya kutengeneza vitambulisho vya taifa.Vitambulisho walivyotegeneza na kugawia wananchi ni milioni mbili.Ukigawa pesa walizopewa na vitambulisho walivyotengeneza utapata jawabu kuwa kila kitambulisho kimoja kimegharimu shilingi milioni 89.8.

Nchi hii ina wezi.Ndio maana Maghufuli kweli ana hasira nao.
Haya yote yanatendeka ndani ya utawala wa CCM.
 
Mkuu,
Hiyo namba (89.9 Mil) umeipataje!!??? Kwa hizo takwimu ulizotoa hapo namba sahihi ilitakiwa kuwa 89,800/=.

Nitoe ufafanuzi kwa nini natofautiana na wewe.
Kama umesoma marekani bilioni moja kwa mmarekani ina sifuri 9 nikiandika kwa tarakimu bilioni moja ni ni 1,000,000,000 ukipiga kwa kutumia hii ya wamarekani kila kitambulisho kimoja utapata kimegharimu shilingi 89,800 ULIZOSEMA wewe.

Mfumo wetu wa elimu Tanzania ni wa KIINGEREZA sio kimarekani Kwa mfumo wa kiingereza tunaoutumia Bilioni moja ina sifuri 12.Ukiiandika inakuwa 1,000,000,000,000.Ukipiga hesabu unapata milioni 89.8

WeWE BILIONI YAKO uliyotumia ina sifuri 9 YA KWANGU INA SIFURI 12 .Wamarekani bilioni moja ni milioni elfu moja ambayo ndio umetumia Waingereza bilioni moja ni milioni milioni moja ambayo ndio nimetumia sababu ndio inatumika tanzania
 
NIDA walipewa shilingi bilioni 179.6 kwa ajili ya kutengeneza vitambulisho vya taifa.Vitambulisho walivyotegeneza na kugawia wananchi ni milioni mbili.Ukigawa pesa walizopewa na vitambulisho walivyotengeneza utapata jawabu kuwa kila kitambulisho kimoja kimegharimu shilingi milioni 89.8.

Nchi hii ina wezi.Ndio maana Maghufuli kweli ana hasira nao.
Tshs 180,000,000,000
Vitambulisho 2,000,000

= Tshs 180,000
Vitambulisho 2

= Tshs 90,000
Kitambulisho Kimoja

= Tshs 90,000/Kitambulisho
 
Nitoe ufafanuzi kwa nini natofautiana na wewe.
Kama umesoma marekani bilioni moja kwa mmarekani ina sifuri 9 nikiandika kwa tarakimu bilioni moja ni ni 1,000,000,000 ukipiga kwa kutumia hii ya wamarekani kila kitambulisho kimoja utapata kimegharimu shilingi 89,800 ULIZOSEMA wewe.

Mfumo wetu wa elimu Tanzania ni wa KIINGEREZA sio kimarekani Kwa mfumo wa kiingereza tunaoutumia Bilioni moja ina sifuri 12.Ukiiandika inakuwa 1,000,000,000,000.Ukipiga hesabu unapata milioni 89.8

WeWE BILIONI YAKO uliyotumia ina sifuri 9 YA KWANGU INA SIFURI 12 .Wamarekani bilioni moja ni milioni elfu moja ambayo ndio umetumia Waingereza bilioni moja ni milioni milioni moja ambayo ndio nimetumia sababu ndio inatumika tanzania
Uko sahihi kaka ila hiyo ilikua ni zamani, siku hizi zote ziko sawa tu

"In British English, a billion used to be equivalent to a million million (i.e. 1,000,000,000,000), while in American English it has always equated to a thousand million (i.e. 1,000,000,000). British English has now adopted the American figure, though, so that a billion equals a thousand million in both varieties of English"

Soma hapa How many is a billion? - Oxford Dictionaries
 
Bilioni moja ni milioni milioni moja.Ngoja nikuandikie kabisa bilioni moja ina sifuri 12.Kwa tarakimu inaandikwa hivi

1,000,000,000,000
Hadi hapa ni wazi hujui hesabu. Ngoja ule tuition ya bure kwa leo, tuanze pamoja:
(1 - mamoja),
(10 makumi),
(100 mamia),
(1,000 maElfu),
(10,000 maKumi Elfu),
(100,000 Laki),
(1,000,000 milioni),
(10,000,000 milioni kumi),
(100,000,000 milioni mia-moja), (1,000,000,000 milioni elfu moja - BILIONI).

Kama wewe ni Cost accountant basi hiyo taasisi sijui kama itafika jioni ya leo
 
Tshs 180,000,000,000
Vitambulisho 2,000,000

= Tshs 180,000
Vitambulisho 2

= Tshs 90,000
Kitambulisho Kimoja

= Tshs 90,000/Kitambulisho

Bilioni moja ni milioni milioni moja=1,000,000,000,000 ZIDISHA mara 180=180,000,000,000,000

Hapo kwenye 180,000,000,000 ongeza SIFURI zingine tatu ili iwe 180,000,000,000,000 Kisha endelea na hesabu zako
 
Hadi hapa ni wazi hujui hesabu. Ngoja ule tuition ya bure kwa leo, tuanze pamoja:
(1 - mamoja),
(10 makumi),
(100 mamia),
(1,000 maElfu),
(10,000 maKumi Elfu),
(100,000 Laki),
(1,000,000 milioni),
(10,000,000 milioni kumi),
(100,000,000 milioni mia-moja), (1,000,000,000 milioni elfu moja - BILIONI).

Kama wewe ni Cost accountant basi hiyo taasisi sijui kama itafika jioni ya leo

In British English, a billion is equivalent to a million million (i.e. 1,000,000,000,000), while in American English it has always equated to a thousand million (i.e. 1,000,000,000).
 
Nitoe ufafanuzi kwa nini natofautiana na wewe.
Kama umesoma marekani bilioni moja kwa mmarekani ina sifuri 9 nikiandika kwa tarakimu bilioni moja ni ni 1,000,000,000 ukipiga kwa kutumia hii ya wamarekani kila kitambulisho kimoja utapata kimegharimu shilingi 89,800 ULIZOSEMA wewe.

Mfumo wetu wa elimu Tanzania ni wa KIINGEREZA sio kimarekani Kwa mfumo wa kiingereza tunaoutumia Bilioni moja ina sifuri 12.Ukiiandika inakuwa 1,000,000,000,000.Ukipiga hesabu unapata milioni 89.8

WeWE BILIONI YAKO uliyotumia ina sifuri 9 YA KWANGU INA SIFURI 12 .Wamarekani bilioni moja ni milioni elfu moja ambayo ndio umetumia Waingereza bilioni moja ni milioni milioni moja ambayo ndio nimetumia sababu ndio inatumika tanzania
On the "short scale," one billion is 1,000 million, or 1 and 9 zeroes (1,000,000,000). The short scale is now the chief one for financial and scientific matters.
Unafahamu fika tunatumia mfumo huo hapo juu. Jifunze basi hata simpe application ya hesaba simple kama kugawa na kuzidisha
Mil 89*mil 2= trillion 178 ingetuchua miaka 8 kulipia hivyo Vitambulisho mil 2 kama tungetumia pesa ya bajet nzima
 
Haya msomi wa HAVARD au OXFORD piga hesabu nimekupa bilioni 179.6 utengeneze vitambulisho vya taifa ukatumia hizo bilioni 179.6 kwa gharama mbali mbali kuhusiana na kutengeneza vitambulisho vya taifa milioni mbili.Nikikuambia nipe COST PER UNIT ya kila kitambulisho kwa pesa nilizokupa kwa kazi hiyo jibu litakuwa shilingi ngapi kama walau katika kupitia digrii yako ya kufikirika ya OXFORD au HAVARD kama walau uliwahi somea COSTING utapata jibu gani?
Jibu litakuws kila kitambulisho sh 20000 kiasi kilichobaki kimegharimia vifaa mbalimbali, utengenezaji vitambulisho ni suala endelevu kwa hiyo lazime kuwe na vifaa vya kudumu kuendeleza kazi hiyo.
 
Pamoja na ubadhilifu lakini ni lazima mjue kuwa kuna gharama nyingine nyingi kama kumlipa mkandarasi aliyepata tenda ya kuprint vitambulisho toka Malesyia..kununua Biometric Machines...kununua computer...kukodi majengo Kumbuka bado hawajawa na ofisi..kulipa wafanyakazi mishahara..na mengine mengi. Hii ni taasisi iliyikuwa inaanza , jua kuwa kuna na gharama za kujifunza mfumo kwani ni kitu kipya hivyo wapendwa tunapolaumu ni lazima na ukweli tuuseme. Sijui kuweka video lakini ningewawekea mkaona kuwa tayari NIDA wana tuzo mbili toka Afrika za kutengeneza kitambulisho kilicho bora na nchi za Africa zinakuja kujifunza kutoka kwao
 
Nitoe ufafanuzi kwa nini natofautiana na wewe.
Kama umesoma marekani bilioni moja kwa mmarekani ina sifuri 9 nikiandika kwa tarakimu bilioni moja ni ni 1,000,000,000 ukipiga kwa kutumia hii ya wamarekani kila kitambulisho kimoja utapata kimegharimu shilingi 89,800 ULIZOSEMA wewe.

Mfumo wetu wa elimu Tanzania ni wa KIINGEREZA sio kimarekani Kwa mfumo wa kiingereza tunaoutumia Bilioni moja ina sifuri 12.Ukiiandika inakuwa 1,000,000,000,000.Ukipiga hesabu unapata milioni 89.8

WeWE BILIONI YAKO uliyotumia ina sifuri 9 YA KWANGU INA SIFURI 12 .Wamarekani bilioni moja ni milioni elfu moja ambayo ndio umetumia Waingereza bilioni moja ni milioni milioni moja ambayo ndio nimetumia sababu ndio inatumika tanzania
billion ni bilioni tu, ulimwengu mzima. kama 10 ilivyo 10.
 
Umekosea umechukua bilioni ipi ile ya american bilioni au English BILION?

Bilioni ya mwingireza ina sifuri 12.Bilioni moja ni sawa na milioni milioni
ya mmarekani bilioni moja ina sifuri 9 yaani milioni elfu moja.
Kwa TANZANIA bilioni ni milioni milioni ndio niliyotumia
Nabaki na msimamo wangu Kitambulisho kimoja ni milioni 89.8 sio elfu 89.8 uliyotamka
Duuh hii ndo kwanza naisikia leo ,,,kwa elimu yangu ya darasa la nne sikuwahi kujua kuwa kila nchi ina utaratibu wake wa kuhesabu namba yaan 1b in UK is not equal to 1b in USA
 
Uko sahihi kaka ila hiyo ilikua ni zamani, siku hizi zote ziko sawa tu

"In British English, a billion used to be equivalent to a million million (i.e. 1,000,000,000,000), while in American English it has always equated to a thousand million (i.e. 1,000,000,000). British English has now adopted the American figure, though, so that a billion equals a thousand million in both varieties of English"

Soma hapa How many is a billion? - Oxford Dictionaries
Billion = the number equivalent to the product of a thousand and a million; 1,000,000,000
 
Pamoja na ubadhilifu lakini ni lazima mjue kuwa kuna gharama nyingine nyingi kama kumlipa mkandarasi aliyepata tenda ya kuprint vitambulisho toka Malesyia..kununua Biometric Machines...kununua computer...kukodi majengo Kumbuka bado hawajawa na ofisi..kulipa wafanyakazi mishahara..na mengine mengi. Hii ni taasisi iliyikuwa inaanza , jua kuwa kuna na gharama za kujifunza mfumo kwani ni kitu kipya hivyo wapendwa tunapolaumu ni lazima na ukweli tuuseme. Sijui kuweka video lakini ningewawekea mkaona kuwa tayari NIDA wana tuzo mbili toka Afrika za kutengeneza kitambulisho kilicho bora na nchi za Africa zinakuja kujifunza kutoka kwao
KITAMBULISHO BORA AMBACHO HAKINA SAINI YA MWENYEKUWA NACHO, KAZI KWELI KWELI!
 
Back
Top Bottom