Kila kazi na changamoto zake: Warembo wakiwa stejini wakiwakilisha mavazi

Maalim MziziMkavu, ni KUWASILISHA sio KUWAKILISHA.

Watu wengi huchanganya haya maneno. Ukisema Nawakilisha ripoti maana yake ni kwamba Ripoti ilibidi ije sasa kwa kuwa haikuja ndio wewe umekuja badala yake.

Lakini usemapo kuwasilisha, maana yake ni kwamba, kuwasili (kuwepo) kwa jambo fulani, kunafanywa na wewe
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa napita tu mzee, naomba nikusalimie. Ngoja niwataarifu wenye fani yao.
 
Back
Top Bottom