Kila hatua kwa CHADEMA ni hatua ya kusonga mbele

Hapa ndipo inaonesha kuwa wewe hujui vyanzo vya uhakika (reliable & citable sources) kwenye kupata taarifa.

Unaleta mambo ya "Wikipedia" kuwa itumike kama rejea kwenye hoja yako, unaelewa jinsi Wikipedia zinavyoendeshwa?
mzee sisi htufanyi siasa za udanganyifu kama nyie, wewe kama hutak reputable sources jitengenezee list yako mwenyewe
 
Hiyo Wikipedia uliyoinukuu siyo "reputable source" ya kuleta viwango vya vyama vya siasa.

Takwimu na ufanisi wa hivyo vyama wameupataje. Acha tabia ya kunukuu taarifa uchwara mitandaoni kuhalalisha propaganda za CCM.
 
nod maaana nkakwambia sifanyi siasa za uongo kama mnazofanya! na apo hatujaaandika sisi tungeandika sisi mngesema tunajipendelea
 
Ukitaka kujua hiyo Wikipedia yako haina maana, hebu tutajie nani alifanya utafiti huo na ulihusisha vyama vingapi vya siasa na vigezo vya utambuzi vilikuwa vipi?
 
at this point wewe tengeneza list yako unayoona ni sahihi, ungekua ni mtu kidogo akili zipo lalbda tungekua na mada nzuri lakini kwa hii akili yako basi tafuta sehem unapoona list inakufaa
 
Wewe si mkaguzi wa akili za watu wenye akili.
 
Siasa majitaka kweli kweli... Mtu unapewa kazi ya kuishambulia CHADEMA JF mchana na usiku kisa watawala waweke watoto wao madarakani, kwa kweli ni siasa za maji taka.
na hii pia ni siasa maji taka, si mmemua kuendesha maisha ya uongo endelea ivo ivo
 
IMG-20251220-WA0055.jpg
 
Wale wanaohitaji CCM Idumu milele huku Upinzani Umekufa, kuna muda utafika wataanza kufa bila kuuona Mwisho wa CCM Ikiwa kufa kwao ndio Mwisho wa CCM..
Upinzani ni imani na sio Chama.
FB_IMG_1766661064267.jpg
 
Back
Top Bottom