mzee sisi htufanyi siasa za udanganyifu kama nyie, wewe kama hutak reputable sources jitengenezee list yako mwenyeweHapa ndipo inaonesha kuwa wewe hujui vyanzo vya uhakika (reliable & citable sources) kwenye kupata taarifa.
Unaleta mambo ya "Wikipedia" kuwa itumike kama rejea kwenye hoja yako, unaelewa jinsi Wikipedia zinavyoendeshwa?
Hiyo Wikipedia uliyoinukuu siyo "reputable source" ya kuleta viwango vya vyama vya siasa.mzee sisi htufanyi siasa za udanganyifu kama nyie, wewe kama hutak reputable sources jitengenezee list yako mwenyewe
nod maaana nkakwambia sifanyi siasa za uongo kama mnazofanya! na apo hatujaaandika sisi tungeandika sisi mngesema tunajipendeleaHiyo Wikipedia uliyoinukuu siyo "reputable source" ya kuleta viwango vya vyama vya siasa.
Takwimu na ufanisi wa hivyo vyama wameupataje. Acha tabia ya kunukuu taarifa uchwara mitandaoni kuhalalisha propaganda za CCM.
Ukitaka kujua hiyo Wikipedia yako haina maana, hebu tutajie nani alifanya utafiti huo na ulihusisha vyama vingapi vya siasa na vigezo vya utambuzi vilikuwa vipi?nod maaana nkakwambia sifanyi siasa za uongo kama mnazofanya! na apo hatujaaandika sisi tungeandika sisi mngesema tunajipendelea
at this point wewe tengeneza list yako unayoona ni sahihi, ungekua ni mtu kidogo akili zipo lalbda tungekua na mada nzuri lakini kwa hii akili yako basi tafuta sehem unapoona list inakufaaUkitaka kujua hiyo Wikipedia yako haina maana, hebu tutajie nani alifanya utafiti huo na ulihusisha vyama vingapi vya siasa na vigezo vya utambuzi vilikuwa vipi?
Naona akina John Mrema, Kigailla na Mwalimu wanajuta moyoni kuisaliti chadema. Jana nimekutana na Mrema sehemu anapauka kwa msongo wa mawazo kwa Kasi ya 5G.Ukijiunga CHADEMA ni hatua kwa CHADEMA na ukiamua kuhama CHADEMA nayo kwa CHADEMA ni hatua pia.
siasa maji takaNaona akina John Mrema, Kigailla na Mwalimu wanajuta moyoni kuisaliti chadema. Jana nimekutana na Mrema sehemu anapauka kwa msongi wa mawazo kwa Kasi ya 5G.
Siasa majitaka kweli kweli... Mtu unapewa kazi ya kuishambulia CHADEMA JF mchana na usiku kisa watawala waweke watoto wao madarakani, kwa kweli ni siasa za maji taka.siasa maji taka
Wewe si mkaguzi wa akili za watu wenye akili.at this point wewe tengeneza list yako unayoona ni sahihi, ungekua ni mtu kidogo akili zipo lalbda tungekua na mada nzuri lakini kwa hii akili yako basi tafuta sehem unapoona list inakufaa
hilo utalijua mwenyeweWewe si mkaguzi wa akili za watu wenye akili.
na hii pia ni siasa maji taka, si mmemua kuendesha maisha ya uongo endelea ivo ivoSiasa majitaka kweli kweli... Mtu unapewa kazi ya kuishambulia CHADEMA JF mchana na usiku kisa watawala waweke watoto wao madarakani, kwa kweli ni siasa za maji taka.
Waongo ni wale wanaosema wanapendwa lakini wanaogopa uchaguzi huru na WA haki!na hii pia ni siasa maji taka, si mmemua kuendesha maisha ya uongo endelea ivo ivo
Kwa CHADEMA Tulia kusema maneno hayo ni hatua. Maana ataulizwa mbona Kwa hapa nyumbani hasemi?
na wale waliokataa kuingia kwenye uchaguzi kabisa alafu baadae wanalia kura zao zimeibwa?Waongo ni wale wanaosema wanapendwa lakini wanaogopa uchaguzi huru na WA haki!
Hii meseji yako imenidhihirishia kuwa nachat na robot na siyo mtu halisi!na wale waliokataa kuingia kwenye uchaguzi kabisa alafu baadae wanalia kura zao zimeibwa?
sauwaHii meseji yako imenidhihirishia kuwa nachat na robot na siyo mtu halisi!
Kuna mtu kasema kila chama kinachoonekana kina nguvu ya kuipinga CCM huungwa mkono na watanzania wengi.