Kila hatua kwa CHADEMA ni hatua ya kusonga mbele

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,146
Reaction score
48,386
CHADEMA wasiposema ni hatua na wakisema ni hatua.

Wakikamatwa ni hatua na wakiachiwa ni hatua pia.

Wakizuiwa kufanya siasa kimazabe ni hatua na wakiruhusiwa kufanya siasa ni hatua.

CHADEMA wakiizungumzia Tanganyika ni hatua na wakiizungumzia Zanzibar na hata wakiizungumzia Tanzania ni hatua zaidi.

CHADEMA wakishiriki uchaguzi ni hatua na wakisema No reforms No election kwao ni hatua pia.

CHADEMA wakiwa wengi ni hatua na wakiwa wachache ni ishara kwao kuwa hiyo ni hatua.

Ukijiunga CHADEMA ni hatua kwa CHADEMA na ukiamua kuhama CHADEMA nayo kwa CHADEMA ni hatua pia.
 
Umemaliza kazi. Asante!
 
CHADEMA ni MAJI
usipo yanywa utayaogea
Usipo yaoga utayqfulia
Usipoyqfulia utayamwqgilia... Kivyovyote vile utayatumia
 
CHADEMA wasiposema ni hatua na wakisema ni hatua.

Wakikamatwa ni hatua na wakiachiwa ni hatua pia.

Wakizuiwa kufanya siasa kimazabe ni hatua na wakiruhusiwa kufanya siasa ni hatua.

CHADEMA wakiizungumzia Tanganyika ni hatua na wakiizungumzia Zanzibar na hata wakiizungumzia Tanzania ni hatua zaidi.

CHADEMA wakishiriki uchaguzi ni hatua na wakisema No reforms No election kwao ni hatua pia.

CHADEMA wakiwa wengi ni hatua na wakiwa wachache ni ishara kwao kuwa hiyo ni hatua.

Ukijiunga CHADEMA ni hatua kwa CHADEMA na ukiamua kuhama CHADEMA nayo kwa CHADEMA ni hatua pia.
Tuliwaambia Heche na Tundu hawana uwezo wa uongozi kwa vile wote ni vichaa tu.

Ushindi Januari 2025, Mwezi Machi Mwenyekiti anaropoka maneno yanayoashiria uhaini na kisha akamatwa na kutupwa ndani.

Mwezi Mei, Makamu anakataa kusaino kanuni za maadili na automatically CHADEMA inajitoa kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi

Uongozi ni karama siyo kama matako, kila mmoja anayo
 
Haya maelezo uliyoyaandika nayo ni hatua kwa CHADEMA!!
 
Back
Top Bottom