kila enzi na usasa wake

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,634
697,845
Enzi zetu mwanafunzi wa sekondari lazima uwe na daftari lenye nyimbo za akina judy boucher, pamela nkuta, mc hammer, bob marley ivonne chaka chaka nk, na ukikaribia miezi ya mwisho kidato cha nne unatengeneza AUTOBIOGRAPHY na kuwapa wahitimu wenzako na mnaowaacha wasaini kwenye kitabu chako
 
Back
Top Bottom