Kila baada ya miezi mitatu huwapima bikra mabinti zangu

Kila baada ya miezi mitatu huwapima bikra mabinti zangu

yutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2013
Posts
1,779
Reaction score
1,227
Mimi ni mtanza ninaeishi swaziland katika mji wa MPAKA niko hapa toka mwaka 89 nimeoa na nina watoto wanne kwa mke wangu ambaye kwa kabila ni mngwane, kabila hili (japo si yote) lina mila na desturi zake ikiwamo hii ambayo wanaamin huwasaidia mabinti zao kuwa mbali na matendo yahusuyo ngono na wakifanikiwa kwa hilo binti anaechumbiwa au kuolewa anaonekana shujaa na familia anayotoka uthaminiwa sana. mwanzo kwangu hili zoezi lilioneka gumu sana lakini toka nimuozeshe binti yangu aliyemaliza chuo kikuu guateng south afrika imenipa hari kubwa sana ya kudumisha huu utamaduni hapa nyumbani Tanzania.

kutokana na matatizo ya kifamilia ikiwamo misiba ilinilazimu nije na familia yangu yote mosi kuhani misiba na pili ni kutumia fursa hiyo kutambulishana kifamilia kwani ni kitambo hatujaonana lakini kinachonishangaza ni kuwa toka nifike hapa nyumbani (itumba) nimekuwa nikipokea shtuma toka kwa majiran kuwa kitendo anachowafanyia mke wangu kuwakagua watoto wetu si cha kiubinadam ikizingatiwa watoto ni wakubwa na wamekwisha vunjo ungo ingawaje nimepata taarifa hivi punde kuwa kati yao mmoja wao si salama kwani kipimo kinaonyesha 'kimepitiliza' nina mwezi mmoja tu wa kuwepo hapa na kama si bahati mbaya basi huenda nikapoteza kabisa sifa ya mabinti zangu kwani pande king mswati wamekuwa lulu, nimejenga nyumba nimenunua gari na sasa nategemea kusomesha watoto wa dadaangu marehemu na hilo litafanikiwa tu nikirudi na familia yangu salama pande zile za MPAKA swaz kwani tz ya sasa si ya kipindi kile majungu umbea vijana wamekalia vijiwe tu kupiga domo

ushauri wangu kwenu na hasa nyie vijana waleeni watoto wenu katika mfumo huo wa 'kaunta attack' kwani dunia ya sasa imearibika.

UMKIMTUNZA VYEMA ATAKUTUNZA VYEMA
 
kukagua pekee haisaidii. Malezi bora ni kumjengea mtoto tabia ya kujiheshimu na kujithamini yeye mwenyewe.
Kesho na keshokutwa ukifa wewe au mamayao nani atawakagua?
Na je kama anafanyiwa uchafu kinyume cha maumbile na anakulindia mbele unapokagua utajuaje?
Au kama anafanya romance na wanaume tofauti lakini analinda bikra je atakuwa anakufurahisha?
Vp kama atakuwa anafanya vitendo vingine viovu kama kutazama porn etc, utafurahia au utakaguaje?
Au we umejikita kwenye ubikra tu?

Mjengee mtoto hofu ya MWENYEZIMUNGU, na mpe mbinu za kujisimamia mwenyewe, atajiheshimu na kukujengea heshima ya kweli.
 
Bw.Kifimboplayer eee...zingatia "punctuation" ili uzi ukae vema.Kazi njema ya ukaguzi ila usiwavunjie "hishma yao"!
 
unatakiwa kupimwa wewe kwanza maana sijaona la maana uliloongea hapa
 
Huyu jamaa amefanya nimecheka sana, maana amechanganya mafaili sijawahi ona.Mara bikira za mabinti, mara mswati, mara vijana hawafanyi kazi, mara ana gari na nyumba sijui wengine tunaishi wapi!!!Huyu Mswati amewaharibu sana nyie watu.
 
^^
Una kazi ya ziada, maadili kama hayo hapa Tanzania tunayasoma kwenye vitabu vya historia
^^
 
Huyu jamaa amefanya nimecheka sana, maana amechanganya mafaili sijawahi ona.Mara bikira za mabinti, mara mswati, mara vijana hawafanyi kazi, mara ana gari na nyumba sijui wengine tunaishi wapi!!!Huyu Mswati amewaharibu sana nyie watu.
Umegundua mkubwa!!! Nadhani anahitaji msaada wa wataalamu wa afya ya akili
 
Unaweza tuwekea picha mkuu? Na je bado uko hapa bongo na hao bikira wako?
 
Isee!mkuu Baba V wale wakaguz wetu wale wa kwenye jukwaa letu lile wako wapi waje waongezee ujuzi hapa.naona kuna semina ya bure!
 
Last edited by a moderator:
Huyu jamaa amefanya nimecheka sana, maana amechanganya mafaili sijawahi ona.Mara bikira za mabinti, mara mswati, mara vijana hawafanyi kazi, mara ana gari na nyumba sijui wengine tunaishi wapi!!!Huyu Mswati amewaharibu sana nyie watu.

Mara nimemaliza kumsomesha mtoto wangu gauteng, mara sasa nachukua watoto waa marehem dada nikawasomeshe, mara tulinde tamaduni za swaziland hala kamalizia na vijana watanzania wana majungu umbea na wavivu.
Hahahahaha jamaa design late bloomer halafu alitokea mazingira magumu sana kiasi ambacho hapo alipofika kuwa na nyumba na gari moja basi kwao ndio king mswati mwenyewe! Hahaha.
Ndio matatizo ya kuondoka home mda mrefu na kutokurudi mara kwa mara, bado unafikiri bongo ni ya 1989 dah pole sana.
 
Hahahahahaha!Huyu jamaa balaa!
 
Back
Top Bottom