Kila baada ya miezi mitatu huwapima bikra mabinti zangu

Kila baada ya miezi mitatu huwapima bikra mabinti zangu

Mimi naona mtoa mada anastaili pongezi kwa kile anachoamini ila kakoseakakosea pale alipochanganya habari nakusema ukweli kuh tulivyo na ushauri alioutoa kwani wachangiaji wengi hapa nusu washachizika na siasa
 
Ni kweli kabisa hilo la kuchanganya habari limepoteza maana kabisa ya nini nilichokusudia lakin hilo la wanajamvi kushadadia mapenzi kinyume na maumbile naona tz mna matatizo makubwa kuliko langu ambalo kimsingi ni la kimila, mambo kama hayo kwetu hayapo
 
Mleta mada nimekudharau sana! ulivyoanza kuandika nilidhani unakitu cha maana Kumbe unatuletea habari zakutajirika kwakuuza BIKRA za wanao duh,,,,! Kwahiyo maBINTI zako nao wataenda kujaribu Bahati kwa mSWATI manake tunackia wazazi wahuko Furaha yao haikamiliki km Mfalme hachagua viGOLI wenu khaaa,,,! mnaenda NCH za watu Igeni maendeleo sio kulinda BIKRA uje kuwa tajiri

Haha umenifumbua macho mkuu.
 
Isee!mkuu Baba V wale wakaguz wetu wale wa kwenye jukwaa letu lile wako wapi waje waongezee ujuzi hapa.naona kuna semina ya bure!

Ngoja nimwite ODM babu Asprin akaongeze nguvu na ushauri wa kitaalamu kuhusu huo ukaguzi.
 
Last edited by a moderator:
heeh! hyo jamaa anawazim kamba nn! so anataka awananii yy au! hii.ndo ile mIzee inayowazalishaga watt wao! ishastuka c bure
 
Mimi naona hii thread imejaa ubishoo wa kuonyesha watu kuwa huyu bwana ana mke mswazi, ana mabinti bikira, ana nyumba na magari etc. Mwenye akili timamu hawezi kuleta thread ya kijinga namna hii humu kwa "The Great Thinkers".
 
pita kimya kimya mchango wako ndo umeonyesha we ni mjinga zaidi ya huyo unayemwona mjinga
 
Back
Top Bottom