Mimi ni mtanza
ninaeishi swaziland katika mji wa MPAKA niko hapa toka mwaka 89 nimeoa
na nina watoto wanne kwa mke wangu ambaye kwa kabila ni mngwane, kabila
hili (japo si yote) lina mila na desturi zake ikiwamo hii ambayo
wanaamin huwasaidia mabinti zao kuwa mbali na matendo yahusuyo ngono na
wakifanikiwa kwa hilo binti anaechumbiwa au kuolewa anaonekana shujaa na
familia anayotoka uthaminiwa sana. mwanzo kwangu hili zoezi lilioneka
gumu sana lakini toka nimuozeshe binti yangu aliyemaliza chuo kikuu
guateng south afrika imenipa hari kubwa sana ya kudumisha huu utamaduni
hapa nyumbani tz. kutokana na matatizo ya kifamilia ikiwamo misiba
ilinilazimu nije na familia yangu yote mosi kuhani misiba na pili ni
kutumia fursa hiyo kutambulishana kifamilia kwani ni kitambo hatujaonana
lakini kinachonishangaza ni kuwa toka nifike hapa nyumbani (itumba)
nimekuwa nikipokea shtuma toka kwa majiran kuwa kitendo anachowafanyia
mke wangu kuwakagua watoto wetu si cha kiubinadam ikizingatiwa watoto ni
wakubwa na wamekwisha vunjo ungo ingawaje nimepata taarifa hivi punde
kuwa kati yao mmoja wao si salama kwani kipimo kinaonyesha
'kimepitiliza' nina mwezi mmoja tu wa kuwepo hapa na kama si bahati
mbaya basi huenda nikapoteza kabisa sifa ya mabinti zangu kwani pande
king mswati wamekuwa lulu, nimejenga nyumba nimenunua gari na sasa
nategemea kusomesha watoto wa dadaangu marehemu na hilo litafanikiwa tu
nikirudi na familia yangu salama pande zile za MPAKA swaz kwani tz ya
sasa si ya kipindi kile majungu umbea vijana wamekalia vijiwe tu kupiga
domo
ushauri wangu kwenu na hasa nyie vijana waleeni watoto wenu katika mfumo
huo wa 'kaunta attack' kwani dunia ya sasa imearibika. UMKIMTUNZA VYEMA
ATAKUTUNZA VYEMA
Watu wa Itumba bwana ushamba tu au ndo mndali wa kwanza kufika mjini
sijui kwa dar lakini huku mbeya mfano maeneo ya huku kwetu ileje na kyela baiskeli ni chanzo kikubwa sana cha kutoa bikra mabinti nahisi hata huyu wa kwangu mmoja ilitoka kwa style hiyo hiyoUmeshajitangazia vita. tegemea wageni wengi kwako ambao watataka waone bikira ikoje. asilimia tisini ya vijana wa kiume sasa hv hawajawahi hata kuisikia harufu hiyo nozzle ya kinamama. Watoto wa Dar na Mbeya wanazaliwa bila bikira ushajidi huo upo.
sijui kwa dar lakini huku mbeya mfano maeneo ya huku kwetu ileje na kyela baiskeli ni chanzo kikubwa sana cha kutoa bikra mabinti nahisi hata huyu wa kwangu mmoja ilitoka kwa style hiyo hiyo
Mkuu Chukua LIKE Yangu bila kijicho kabisa,Unafaa uwe Dean of Students Vyuo vikuu aisee! Amaa kweli JF Kuna Great thinkers.Tuje tuanzishe mchakato wa kuwa award Wachangiaji Makini.
sijui kwa dar lakini huku mbeya mfano maeneo ya huku kwetu ileje na kyela baiskeli ni chanzo kikubwa sana cha kutoa bikra mabinti nahisi hata huyu wa kwangu mmoja ilitoka kwa style hiyo hiyo
kweli mswati chiboko yao
kukagua pekee haisaidii. Malezi bora ni kumjengea mtoto tabia ya kujiheshimu na kujithamini yeye mwenyewe.
Kesho na keshokutwa ukifa wewe au mamayao nani atawakagua?
Na je kama anafanyiwa uchafu kinyume cha maumbile na anakulindia mbele unapokagua utajuaje?
Au kama anafanya romance na wanaume tofauti lakini analinda bikra je atakuwa anakufurahisha?
Vp kama atakuwa anafanya vitendo vingine viovu kama kutazama porn etc, utafurahia au utakaguaje?
Au we umejikita kwenye ubikra tu?
Mjengee mtoto hofu ya MWENYEZIMUNGU, na mpe mbinu za kujisimamia mwenyewe, atajiheshimu na kukujengea heshima ya kweli.