Kila anayenitongoza namwona hafai

Kila anayenitongoza namwona hafai

Bibie kutokana na maelezo yako una Jini mahaba ndişo anayekusumbuwa usipate mchumba na unaweza kukaa hivyo hivyo bila ya kupata mchumba ukawa kila siku unachaguwa wachumba na hukai nao kabisa.

DALILI ZA KUONYESHA UNA JINI MAHABA NI HIZI MOJAWAPO UKIWA NAYO NI TOSHA KABISA SIO LAZIMA UWE NAZO ZOTE:


1.KUNA KUJITAMBUA KUWA UNA MAJINI KWA NJIA MBALIMBALI.KUJITAMBUA KWA NJIA YA NDOTO YA DHAHILI.


2.DALILI ZA DHAHILI.

A.KIZUNGUZUNGU.

B.VITU KUTEMBEA TUMBONI.
C.VICHEZA MWILINI.3
D.KICHWA KUUMA MARA KWA MARA.
E.KUHISI MTU ANATEMBEA NYUMA YAKO.
F.KUPIGA MIHAYO SANA.
G.MACHO KUKOSA AIBU.
H.HASIRA ZA MARA KWA MARA.
I.KUPOTEZA KUMBUKUMBU.
J.UGOMVI WA MARA KWA MARA.
K.MARADHI YA KUJIBADILISHA BADILISHA.
L.KUHISI BARIDI MARA KWA MARA.
M.KUTOJISIKIA KUONGEA HASA WAKATI UNAPOSSEMESHWA NA MTU UNAONA KAMA
ANAKUSUMBUA.
N.MASIKO KUPIGA KELELE.
O. KUHISI VITU VINAONGEA MASIKIONI.
P.KUPOTEZA HELA MARA KWA MARA KWA NJIA YA KUTATANISHA.
Q.KUHARIBIKIWA NA VITU HASA VYA MOTO.
R.MATATIZO YA HEDHI KUFUNGIKA AU KUTOKA KWA WINGI AU KUKOSA KABISA.
S.KUFUNGIKA KWA KIZAZI.
T KUSTUKA STUKA
U.MOYO KUONGOKA SAWA NA MTU MWENYE PRESHA.
V.KUPUNGUKIWA DAMU NA KUKONDA AU KUISHIWA MAJI MWILINI.
W.KUPUNGUKIWA NGUVU ZA KIUME AU ZA KIKE.
X.KUSIKIA UCHUNGU WAKATI WA TENDO LA NDOA AU UNAPOMALIZA.
Y. KUHISI KICHEFUCHEFU UNAPOMALIZA TENDO LA NDOA.
Z.KUHISI MANUKATO AU HARUFU MBAYA.
AA.KUKOSA HAMU YA KULA AU KUBAGUA CHAKULA.
BB.MIMBA KUPOTELEA TUMBONI.
CC. KUHISI WATU WANAKUSEMESHA NA HAUWAONI.
DD.KIFAFA.
EE.KICHAA.
FF.PIA MAJINI HUMSABABISHA MWANAMKE KUWA MKALI WAKATI ANAPOOMBWA
TENDO LA NDOA.


3.DALILI KATIKA NDOTO.
A.NDOTO ZA KUFUKUZWA NA WANYAMA WAKALI.
B.NDOTO ZA KUOTA UNAJIFUNGUA.
C. KUOTA UNAPIGWA.
D.NDOTO ZA KUOGELEA.
E. NDOTO ZA KUPAA.
F.NDOTO ZA KUOTA UMEPANDISHIWA JINI.
G. NDOTO ZA KUOTA UMEOA AU UMEOLEWA.
H.KUOTA UMEVALISHWA PETE AU MKUFU.
I.KUOTA UNAPIGANA.
J.KUOTA UNAPIGA KELELE.
K.KUOTA MOTO MKUBWA.
L. KUOTA UNAZIKA.
M.KUOTA UMEKUFA.
N.KUOTA UNAFUKUA KABULI.
O.KUOTA SHEREHE MARA KWA MARA.
P.KUOTA UNAONGEA NA WATU WALIOKUFA.
Z.KUOTA UNAONA VISUGUU.
AA.KUOTA UNAONA MAFUVU WA WATU.
BB.KUOTA UNAPIGA RAMLI.
CC.KUOTA UNAVAA BANGILI AU SHANGA.
DD.KUOTA WATU WANACHUNGA NG,OMBE.
EE.KUOTA WATU WAMEVAA NGUO NYEUPE..
FF.KUOTA UNAKABIDHIWA MKUKI,FIMBO,MUNDU,MBUZI,KONDOO,NG,OMBE
NA KITAMBAA CHEUPE.
GG.KUOTA VIJUMBA VYA MIZIMU.
HH.KUOTA VIBUYU.
II.KUOTA UNAKUNYWA AU UNANYESHWA DAMU.
KK.KUOTA WATU WAMEVAA KANZU .
HIZI NI DALILI ZA MAJINI KWA NJIA ZA NDOTONI JAPO ZIPO NYINGI ILA NAWATAJIA HIZI HAPA
KWA UFUPI .NA PIA NAMUOMBA MWENYEZI MUNGU AENDELEE KUNIPA FAHAMU ILI NIENDELEE
KUWAELIMISHA NA KUWAFUNDISHA MAMBO MENGI YA KUWATAMBUA MAJINI KWA NJIA ZA
NJOZI PIA KWA NJIA ZA DHAHILI.WATU WENGI WANASUMBUKA NA MASHETANI ,MIZIMU,MAJINI,
MAITI LAKINI HAWAJITAMBUI SASA NAHITAJI KUWAPA ELIMU ILI MUWEZE KUFAIDIKA NAZO.
NA PIA NAWAFUNDISHA DAWA KWA AJILI YA HUDUMA YA KWANZA.ASANTE YENU
ITANISABABISHA KAZI YANGU KUSONGA MBELE HII NI MOJA YA SADAKA.
KWA SASA MAJINI NDIO WANAONGOZA KWA KUWATESA WATU ,NA KUWATIA NUKSI,NAKUWAFILISI ,PIA NA KUVUNJA NDOA ZA WATU.
Ukiwa na tatizo lolote lile unaweza kunitumia baruwa ya pepe email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com au pia waweza kunitembelea blog yangu kwa kubonyeza hapa.Mzizi Mkavu




Vipi Mkuu HP1 hujambo lakini?

Mie nataka kujua tu ndugu Mzizi.Kwani wewe unatumia utaalamu gani kuondoa hayo majini!?
 
Last edited by a moderator:
naamini wote mu wazima wa afya.

kama kichwa kinavojieleza hapo juu naombeni ushauri wenu nifanye nini coz kila anayenitongoza namuona hafai hata kama ni mtu mwenye hela zake.

mimi huwa nina tabia ya kuangalia sana tabia ya mtu sasa kila anayenifuata naona hana vigezo na wengi nawaona wananitamani tu.

hii hali inanitesa sana kwamaana najikuta wanaonifuata ni wengi lakini bado upweke unanitesa.

mawazo yako yatakayojenga please.
Ndo mnaishiaga kuwa wasagaji nyie..
 
Hakuna mtu atakaefikia mahitaji yako unless umuumbe kama ww.so u either get in au uteseke
 
Upweke hautakuacha kamwe coz bado neno "mtu mwenye hela zake" bado lipo bichwani mwako!Uzuri wa mwanamke sio urembo, jichunguze pia usije ukawa ni wale wanawake walioandikiwa "kusaidia ndoa za wenzao"!!!
 

Kwani we ni jinsia gani? Maana hii dunia iko mulugolized nowadays.

 
naamini wote mu wazima wa afya.

kama kichwa kinavojieleza hapo juu naombeni ushauri wenu nifanye nini coz kila anayenitongoza namuona hafai hata kama ni mtu mwenye hela zake.

mimi huwa nina tabia ya kuangalia sana tabia ya mtu sasa kila anayenifuata naona hana vigezo na wengi nawaona wananitamani tu.

hii hali inanitesa sana kwamaana najikuta wanaonifuata ni wengi lakini bado upweke unanitesa.

mawazo yako yatakayojenga please.

Umekubuhu katika mapenzi ndio maana kwako hamna kigeni na unaona wote hawafai.
 
Mie nataka kujua tu ndugu Mzizi.Kwani wewe unatumia utaalamu gani kuondoa hayo majini!?
Utaalam wangu siwezi kusema hapa ninatumia dawa za mitishamba na ninatumia baadhi za Aya za Biblia na Quran kuondowa hao mapepo wachafu. Ukitaka maelezo kwa kirefu wasiliana na mimi kwa njia ya Email baruwa ya pepe Email Address yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com au pia waweza kunitembelea blog yangu kwa kubonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 
Hakuna mtu mkamilifu pia kumbuka kutofautiana ndio sifa kuu ya binadamu lakini ili muweze ku-cope lazima kuna maeneo kila mmoja amvumilie mwenzake mwisho wa siku utagundua pamoja na tofauti zetu za kimtazamo na tabia lakini watu tunaishi kwa maelewano. (kuna tabia ambazo tumekuwa nazo lakini kutokana na kuishi na watu mbalimbali tunajikuta zinaondoka kabisa na hii yote inatokana na kuvumiliana na unajikuta hiyo tabia unayo wewe tu kwanini usibadilike) Kuna tabia zisizovumilika yaani mfano kama mtu kibaka na unajua ni kibaka kabla ya kuingia kwenye mahusiano au aina nyingine ya tabia hatarishi.
 
hata mkuu wa kaya alisema ukitaka kula lazima uliwe...... sasa wewe unataka kula tu?
 
naamini wote mu wazima wa afya.

kama kichwa kinavojieleza hapo juu naombeni ushauri wenu nifanye nini coz kila anayenitongoza namuona hafai hata kama ni mtu mwenye hela zake.

mimi huwa nina tabia ya kuangalia sana tabia ya mtu sasa kila anayenifuata naona hana vigezo na wengi nawaona wananitamani tu.

hii hali inanitesa sana kwamaana najikuta wanaonifuata ni wengi lakini bado upweke unanitesa.

mawazo yako yatakayojenga please.

kawe nun
 
Subiri ugonge miaka 40 ,utavikumbuka vivi vimeo,hutopata hata kukuvisha pete.
Aione.Vicky Kamatta.

Sema wapone. Wengine wanasubiri waolewe na matajiri...manina watangoja sana tu. Na ss wanaume tunavyopenda sifa tunaishia kuwafunua na kufukuzia mbali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom