Kila anayenitongoza namwona hafai

Kila anayenitongoza namwona hafai

naamini wote mu wazima wa afya.

kama kichwa kinavojieleza hapo juu naombeni ushauri wenu nifanye nini coz kila anayenitongoza namuona hafai hata kama ni mtu mwenye hela zake.

mimi huwa nina tabia ya kuangalia sana tabia ya mtu sasa kila anayenifuata naona hana vigezo na wengi nawaona wananitamani tu.

hii hali inanitesa sana kwamaana najikuta wanaonifuata ni wengi lakini bado upweke unanitesa.

mawazo yako yatakayojenga please.

Ucjali May Be Mungu Bdo Hajakupa Wako
 
naamini wote mu wazima wa afya.

Kama kichwa kinavojieleza hapo juu naombeni ushauri wenu nifanye nini coz kila anayenitongoza namuona hafai hata kama ni mtu mwenye hela zake.

Mimi huwa nina tabia ya kuangalia sana tabia ya mtu sasa kila anayenifuata naona hana vigezo na wengi nawaona wananitamani tu.

Hii hali inanitesa sana kwamaana najikuta wanaonifuata ni wengi lakini bado upweke unanitesa.

Mawazo yako yatakayojenga please.

pole dadaa! Labda ww ni mcha mungu sana kama mm, so kama una sifa ka iyo,omba mungu utongozwe na mwenye sifa kama zako naamin utamkubal. Upweke unauma.
 
Unaoona hawafai ndo hao hao wanafaa na siku ukija kuona unaedhani anafaa atakuwa hafai!
 
ww endelea kuchagua tu na kuwakataa dada ipo sku utajua uzur kumbe unamwisho.

Hapo itafika kipindi wataanza kukuona unanyodo na wataanza kukukwepa. Sasa hapo ndipo utakapozisoma plate namba .

Umri umezidi kwenda na hawakutongoz tena kila atakayekuwa anakuja atakuwa anagonga na kusepa.

Acha kuchagua usifikir ww unavyofuatwa kuwa ndio mzur kuliko waote.

Kama unafikir tunakudanganya nenda kakae na mama yako atakupa darasa.

Hakuna binadam aliyekuwa kamili kwa kila sifa unazotaka.

Kuna wenzako walikuwa na nyodo kama zako za kusema hawana sifa. Lakin sasa amegonga miaka 33 hakuna hata mwanaume wa kumtaka kumuoa sasa anahaha kusaka yeyote aliye tayar huku umri wa kuzaa nao unamtupa mkono. Kila akitongozwa anataka harusi iwe wiki ijayo amechanganyikiwa.
Sasa hayo ndiyo unayasubir

aka kuvurugwa
 
hbr wana jf jaman hebu nisikie mawazo yenu hivi ukiachana na sheria ya nchi yetu umri sahihi wa kuingia kwenye mahusiano ni upi maana watu kila siku vilio sababu kuumizana je mwingine ni utoto au cku hizi mapenzi yameshayeyuka
 
Wacha nijaribu kukufuata na kukutongoza, ukiniona sifai hata mimi basi tena itakuwa si rizki lakini pia ndo nitakuwa wa mwisho kukutongoza. Hutakaa utongozwe tena! Ukiniona nafaa nitakupotezea na atakayefuata kukutongoza baada yangu utamkubali kwa miguu na mikono yote miwili!
 
Kama n vgezo!!!Muulze lulu wa bongo movie. ..mpaka ukmulza unataka mume wa aina gan anajbu atakae nkubal jns nlvyo na anielewe.sasa wewe subir aje wa hvo vgezo vyako utasubir miaka buku.....chagua mwenyewe jerefo au mia nane.???
 
Ww endelea kuchagua tu na kuwakataa dada ipo sku utajua uzur kumbe unamwisho.

Hapo itafika kipindi wataanza kukuona unanyodo na wataanza kukukwepa. Sasa hapo ndipo utakapozisoma plate namba .

Umri umezidi kwenda na hawakutongoz tena kila atakayekuwa anakuja atakuwa anagonga na kusepa.

Acha kuchagua usifikir ww unavyofuatwa kuwa ndio mzur kuliko waote.

Kama unafikir tunakudanganya nenda kakae na mama yako atakupa darasa.

Hakuna binadam aliyekuwa kamili kwa kila sifa unazotaka.

Kuna wenzako walikuwa na nyodo kama zako za kusema hawana sifa. Lakin sasa amegonga miaka 33 hakuna hata mwanaume wa kumtaka kumuoa sasa anahaha kusaka yeyote aliye tayar huku umri wa kuzaa nao unamtupa mkono. Kila akitongozwa anataka harusi iwe wiki ijayo amechanganyikiwa.
Sasa hayo ndiyo unayasubir

Suburi umri wako ugote nina hakika utalegeza masharti yote unayoyaweka na itafika hatua utataka kuolewa na yeyote atakayejitokeza mradi tu ni mwanaume. Wakati ukuta
 
Unataka jibu la aina ghani, la kukubembeleza, au halisi litakalo kutonesha??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom