Kila akifika kilele ananing'ata meno

achana na style ya kifo cha mende mpige chuma mboga,kama yeye bingwa wa kung'ata hapo ataishia kung'ata sakafu,tiles au carpet!
 
pole sana...kila mtu ana namna yake ya kufika kileleni mwingine anaweza akakutukania mama yako bila ye kujua sasa angalia usije ukamwacha huyo ukaenda kumpata anayekutukania mama!
cha msingi hapa ni kumjenga kisaikolojia.
 
Jamaa kama kila gemu lazima ang'atwe kifuani basi inaonekana ana style moja. Zile za acrobatic lini atakifikia kifua??
 
Inamana hata mbuzi kagoma, chuma mboka huwa anageuka na kukung'ata? Basi atakua anavielement vya mbwa.
Mpe kazi ya ulinzi.
 
Dah vumilia bana,mwenzio nakumbuka kuna mmoja alikua ananipiga kucha mgongoni mpaka anaondoka na nyama.mpaka leo nikivua shati watu wanauliza km niliwai vamiwa na chui au simba!
 
Swagger hizo.....akitoka hiyo inaingia mambo ya kucha hapo huo uso utakuwa kama unazimiwa vipisi vya sigara hiyo mikovu yake.
 
uwe unapaka pilipili kifuani kwako, ikimuwasha kamwe hawezi ludia tena kukung'ata
 
pole sana...kila mtu ana namna yake ya kufika kileleni mwingine anaweza akakutukania mama yako bila ye kujua sasa angalia usije ukamwacha huyo ukaenda kumpata anayekutukania mama!
cha msingi hapa ni kumjenga kisaikolojia.

Thanx huu nao ni ushauri nzuri

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kuna possibilities 2 hapa:
1. Shem wetu ni vampire
2. Au anamuiga Suarez
Ushauri wa kuvaa bullet proof au kama wachina wameshaleta tooth proof tafuta.

Lol! yaani hii imenivunja mifupa ya kifua, yaan JF ni kila kitu.
 
Inonekana kuna kitu ulimuudhi, ameamua kujilipa kidogo kidogo mpaka lengo litimie.
 
We benzoic usinivunje mbavu.....
Kwamb shem wetu amekua Suarez?!!!!

Huyu ndg ye2 awache mamb ya ajab mbn styl zpo nyng au ndo kazoea kifo cha mende tu...
 
Ngoja uje ungofolewe siko hehehe chukua kitambaaa mpe angate au muweke taipu(ile ya kijivu)ya mdomo au kuna kifaa flani wanatumia wazungu wanaopenda ngono kama kirungu kina mnyororo anangata kisha inafunguwa kwa nyuma atakuwa hawezi kukungata!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…