jjs2017
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 2,027
- 4,316
Habari ndugu zangu,
Nina rafiki yangu wa kiume, tokea mke wake amesafiri nje kidogo kwenda kumuuguza mama yake mzazi ni mwezi sasa anasema kila akiamka asubuhi anajikuta uume haujasimama na pia anakosa ndoto nyevu na hamu ya kuwa na mwanamke na wakati mwingine anajihisi kama uume una baridi sana.
Sisi kama marafiki zake tumemwambia tuu labda ni mazingira yanachangia ya upweke wakukaa bila mke kwa sababu alizoea kuwa na mke muda mwingi. Sasa kuondoka kwake labda ndio kumechangia sana, ila ameshindwa kutuelewaa wakuu.
Sasa ndugu zangu sijui tuendelee kumwambiaje huyu ndugu, maana anasema sio kawaida yake kabisa na anaonekana mwenye msongo sana wa mawazo kwakweli.