Kila akiamka asubuhi uume haujasimama

Kila akiamka asubuhi uume haujasimama

Habari ndugu zangu,

Nina rafiki yangu wa kiume, tokea mke wake amesafiri nje kidogo kwenda kumuuguza mama yake mzazi ni mwezi sasa anasema kila akiamka asubuhi anajikuta uume haujasimama na pia anakosa ndoto nyevu na hamu ya kuwa na mwanamke na wakati mwingine anajihisi kama uume una baridi sana.

Sisi kama marafiki zake tumemwambia tuu labda ni mazingira yanachangia ya upweke wakukaa bila mke kwa sababu alizoea kuwa na mke muda mwingi. Sasa kuondoka kwake labda ndio kumechangia sana, ila ameshindwa kutuelewaa wakuu.

Sasa ndugu zangu sijui tuendelee kumwambiaje huyu ndugu, maana anasema sio kawaida yake kabisa na anaonekana mwenye msongo sana wa mawazo kwakweli.
Si useme tu kuwa una hilo tatizo! Yanini kumsingizia rafikiyo ilhali tatizo linakusumbua wewe??
 
Kama mkewe ni mtu wa kusini hio ni kawaida wanaita  kutopeka I had many cases before za aina hio
 
Habari ndugu zangu,

Nina rafiki yangu wa kiume, tokea mke wake amesafiri nje kidogo kwenda kumuuguza mama yake mzazi ni mwezi sasa anasema kila akiamka asubuhi anajikuta uume haujasimama na pia anakosa ndoto nyevu na hamu ya kuwa na mwanamke na wakati mwingine anajihisi kama uume una baridi sana.

Sisi kama marafiki zake tumemwambia tuu labda ni mazingira yanachangia ya upweke wakukaa bila mke kwa sababu alizoea kuwa na mke muda mwingi. Sasa kuondoka kwake labda ndio kumechangia sana, ila ameshindwa kutuelewaa wakuu.

Sasa ndugu zangu sijui tuendelee kumwambiaje huyu ndugu, maana anasema sio kawaida yake kabisa na anaonekana mwenye msongo sana wa mawazo kwakweli.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 dahhh baridi tena
 
Back
Top Bottom