Kama hatumii kodi yetu, havunji sheria, kumfatilia ni kujitesa bure!!View attachment 3544323
Rais wa Namibia Netumbo Ndemupelila Nandi-Ndaitwah na Rais wa zamani wa Tanzania Jakaya Kikwete Mkutano wa Wakuu wa Umoja wa Afrika (AU) Jijini Addis Ababa.[/URL]
Mnapenda sana habari kama hizi. Hata mkidanganywa provided anayesemwa vibaya ni JK au Samia basi nyie mtashabikia tuAnahangaika sana kukutana na viongozi mbalimbali ili kumsafisha nyumba ndogo yake ya zamani kutokana na damu alizozimwaga.
Hizi akili ndo mtashindana nazo kuiangusha CCM?View attachment 3544323
Rais wa Namibia Netumbo Ndemupelila Nandi-Ndaitwah na Rais wa zamani wa Tanzania Jakaya Kikwete Mkutano wa Wakuu wa Umoja wa Afrika (AU) Jijini Addis Ababa.[/URL]
ICC..... zunguka mbuyu!View attachment 3544323
Rais wa Namibia Netumbo Ndemupelila Nandi-Ndaitwah na Rais wa zamani wa Tanzania Jakaya Kikwete Mkutano wa Wakuu wa Umoja wa Afrika (AU) Jijini Addis Ababa.[/URL]
Hapo hakuna umoja wa Afrika, bali ni umoja wa viongozi wa Africa. Huo ni umoja usio na tija yoyote. Ni vikao vya kupotezeana muda kwa umoja usio na meno.Gentleman,
Rais mstaafu wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete ni miongoni mwa washauri muhimu wakuu wa Umoja wa Africa AU, jukumu amabalo hulifanya na maraisi wengine wastaafu ambao nao walikuepo kwenye mkutano mkuu huo wa umoja wa Africa AU. Baadhi ya marais wastaafu wengine waliohudhuria mkutano huo wa juu Africa ni pamoja na marais wawili wastaafu kutoka Nigeria, rais mstaafu wa Kenya, Ghana n.k.
So,
Jakaya Mrisho Kikwete yupo adis ababa kama rais mstaafu wa Tanzania na miongoni mwa washauri muhimu katika masuala mbalimbali ya Africa.
kisakolojia unaweza kua umechangamka tayari bila kujijua gentlemanHapo hakuna umoja wa Afrika, bali ni umoja wa viongozi wa Africa. Huo ni umoja usio na tija yoyote. Ni vikao vya kupotezeana muda kwa umoja usio na meno.

Umempa ushahidi konki sana, huyo alifaa ku...Je na hawa wastaafu wengine wapo hapo addis ababa kama akina nani
View attachment 3544328
Kila nikiona post za hilda huws nacheka sana
Kwa akili yako unahisi ametumia gharama zake kufika hapo?Kama hatumii kodi yetu, havunji sheria, kumfatilia ni kujitesa bure!!