Nishabikie ili inifae nini? Kama una jibu sahihi la swali la mleta mada, weka jibu ili watu wajadili uhalisia wa jibu hilo.Mnapenda sana habari kama hizi. Hata mkidanganywa provided anayesemwa vibaya ni JK au Samia basi nyie mtashabikia tu
Kilicho dhahiri, fuatilia tangu utawala wa Mwinyi, hakuna Rais mstaafu ambaye alikuwa akijihusisha na mambo mbalimbali ya kiutawala kama Jakaya. Kuna wakati Jakaya amekuwa akifanya kazi zinazostahili kufanywa na waziri wa mambo ya nchi za nje. Ni kama amestaafu Urais halafu akateuliwa kuwa Waziri.