akili mwili mzima
JF-Expert Member
- Nov 13, 2025
- 1,113
- 2,228
Wakikujibu nitag mkuu😁Je na hawa wastaafu wengine wapo hapo addis ababa kama akina nani
View attachment 3544328
View attachment 3544323
Rais wa Namibia Netumbo Ndemupelila Nandi-Ndaitwah na Rais wa zamani wa Tanzania Jakaya Kikwete Mkutano wa Wakuu wa Umoja wa Afrika (AU) Jijini Addis Ababa.[/URL]
BulesiShadow president
Kama alialikwa kuna ubaya akienda?..Hawa watu ndio maana hawatakaa wakubali kuachia power kirahisi.
Sio rahisi akatae, kuna watu wanajulikana kwa kupenda "shughuli".Kama alialikwa kuna ubaya akienda?..
Kuna ndugu yangu mmoja alitoka bushi akaja jijini kutembea/kusalimia siku tuliyopita nae ikulu yupo kwenye daladala alisema ifuatavyoHawa watu ndio maana hawatakaa wakubali kuachia power kirahisi.
Regime kutoka madarakani Africa ni kama kujihukumu kifo na umasikini kwa circle yako. Siasa ndio inalipia zaidi kirahisi kwenye hizi nchi zetu corrupt na zilizojaa nepotism na ufisadi. Ukitoka madarakani wakaingia watu wenye mrengo tofauti kabisa na wewe unapoteza access ya rasilimali na fursa nyingi sana, Kuna kufilisiwa na zaidi hata wewe na circle yako mkafungwa na kuhangaishiwa mahakamani kama mlivyokuwa mnawafanyia wengine.Kuna ndugu yangu mmoja alitoka bushi akaja jijini kutembea/kusalimia siku tuliyopita nae ikulu yupo kwenye daladala alisema ifuatavyo
" duh hapa ndo ikulu, ccm kuwatoa hapa labda nguvu itumike"
hadi sasa msemo wake nikiufikiria naona bado unamashiko
Hizi ni Kodi zetu zinatumika vibayaKama hatumii kodi yetu, havunji sheria, kumfatilia ni kujitesa bure!!
Hatari sanaRegime kutoka madarakani Africa ni kama kujihukumu kifo na umasikini kwa circle yako. Siasa ndio inalipia zaidi kirahisi kwenye hizi nchi zetu corrupt na zilizojaa nepotism na ufisadi. Ukitoka madarakani wakaingia watu wenye mrengo tofauti kabisa na wewe unapoteza access ya rasilimali na fursa nyingi sana, Kuna kufilisiwa na zaidi hata wewe na circle yako mkafungwa na kuhangaishiwa mahakamani kama mlivyokuwa mnawafanyia wengine.
Alipo yupo
Kwa akili yako unahisi ametumia gharama zake kufika hapo
Kwa akili yako unahisi ametumia gharama zake kufika hapo