Kikwete wewe ndio maskini

Kikwete wewe ndio maskini

kusema kweli sikuona sababu ya ile zawadi kupata media coverage... kikwete ni mtu mzuri tu, lakini kwa urais bado moyo wangu unakua mzito kukubali, hasa kutokana na idara yake ya habari inavyoweza kuchagua kipi cha kuja kwa public let alone uzito wake wa kufanya maamuzi kama rais!!!

sijapenda jinsi alivyopokea jezi ya real, kibaya zaidi kutoka kwa meya, kama wanathamini na yeye ni rais, basi wangemtuma senior official kuileta yiho tisheti ya madrid

Kikwete is getting too low as a president...

BTW< amezungumzia chochote kuhusu pesa za radad hadi leo??
 
Leo nimeona kwenye TV Rais wetu akipokea JEZI ya RONALDO ambayo ni zawadi toka Real Madrid kwa kutambua nini sijui wanajua wenyewe...........

Katika speech yake alishukuru eti ANASHUKURU SANA KWA ZAWADI HIYO na pia kuitambua Tanzania JAPOKUWA NI MASIKINI.......

Huyu baba vipi nilitamani nimzabe kibao kama ni umaskikini basi ni umasikini wa FIKRA alionao yeye na haoi wanaomzunguka, yaani Tanzania na na RASILIMALI zote tulizokuwa nazo, ARDHI, MADINI, NK tuna umasikini gani kama sio ujinga wa viongozi wetu kutajua jinsi ya kuzivuna na kufaidika na TAIFA nazo????

Nimechukia mpaka moshi unatoka kwenye macho ...machozi yanatokota....@$%%&**&^~~~<<>?>< kwa sababu!####%%^????//..,^?^!!!! inakuwa &#29399;&#23617;

Yaani &#26377;&#20010;&#22320;&#26041;&#36807;&#24180;&#30340;&#39118;&#20439;&#26159;&#21507;&#24180;&#22812;&#39277;&#65292;Kwa hiyo ina maana &#21322;&#22812;&#36215;&#26469;&#65292;&#20808;&#31085;&#31062;&#65292;kwa sababu &#20062;&#27714;&#20445;&#20305;&#65292;sasa inakuwaje &#22270;&#20010;&#21513;&#21033;&#12290;&#29239;&#29239;&#24102;&#30528;&#23567;&#23385;&#23376;&#65292;&#26469;&#21040;&#40657;&#40669;&#40669;&#30340;&#22530;&#23627;&#37324;&#65292; wakati sisi kila wakati tumesema &#23567;&#23385;&#23376;&#24515;&#37324;&#21457;&#27611;&#65292;&#25265;&#30528;&#29239;&#29239;&#30340;&#33151;&#19981;&#25918;&#12290; je kama &#29239;&#29239;&#25670;&#24320;&#20379;&#21697;&#65292;&#24320;&#22987;&#20316;&#25558;&#65292;&#33136;&#24367;&#19979;&#21435;&#30340;&#26102;&#20505;&#65292;yeye kwa mfano &#19981;&#26399;&#25918;&#20102;&#20010;&#21709;&#23617;&#65292;&#24322;&#30340;&#21709;&#22768;&#30528;&#23454;&#25226;&#23385;&#23376;&#21523;&#20102;&#19968;&#22823;&#36339;&#65292;&#36830;&#24537;&#38382;&#65306;&#29239;&#29239;&#29239;&#29239;&#65292;&#26159;&#19981;&#26159;&#39740;&#21483;&#65281;”&#21710;&#21568;&#65281;&#20320;&#24590;&#20040;&#35828;&#36825;&#26679;&#19981;&#21513;&#21033;&#30340;&#35805;&#12290;&#29239;&#29239;&#24537;&#35828;&#65306;&#29399;&#23617;&#65281;&#29399;&#23617;&#65281;

Kumbe wale jamaa waliofungiwa &#29239;&#29239;&#25670;&#24320;&#20379;&#21697;, kwa sababu......

Ina maana kama ataivaa hiyo jezi....&#24322;&#30340;&#21709;&#22768;&#30528;&#23454;&#25226;&#23385;&#23376;&#21523;&#20102;..

Kwani mtu anapochukua ubini wa mtu mwingine....ina...&#29239;&#29239;&#24537;&#35828;

Ahgggghh!!!!!!!
 
Kwa kweli hata mimi jana ile kauli iliniudhi sana. Mtu anaongea utadhani hajaimba ule wimbo wa "tazama ramani utaona nchi nzuri". Masikini ni yeye na watu wooote wenye fikra kama za kwake lakini mimi kunichanganya kwenye kundi hilo.......NIMEKATAA.
 
Nimechukia mpaka moshi unatoka kwenye macho ...machozi yanatokota....@$%%&**&^~~~<<>?>< kwa sababu!####%%^????//..,^?^!!!! inakuwa &#29399;&#23617;

Yaani &#26377;&#20010;&#22320;&#26041;&#36807;&#24180;&#30340;&#39118;&#20439;&#26159;&#21507;&#24180;&#22812;&#39277;&#65292;Kwa hiyo ina maana &#21322;&#22812;&#36215;&#26469;&#65292;&#20808;&#31085;&#31062;&#65292;kwa sababu &#20062;&#27714;&#20445;&#20305;&#65292;sasa inakuwaje &#22270;&#20010;&#21513;&#21033;&#12290;&#29239;&#29239;&#24102;&#30528;&#23567;&#23385;&#23376;&#65292;&#26469;&#21040;&#40657;&#40669;&#40669;&#30340;&#22530;&#23627;&#37324;&#65292; wakati sisi kila wakati tumesema &#23567;&#23385;&#23376;&#24515;&#37324;&#21457;&#27611;&#65292;&#25265;&#30528;&#29239;&#29239;&#30340;&#33151;&#19981;&#25918;&#12290; je kama &#29239;&#29239;&#25670;&#24320;&#20379;&#21697;&#65292;&#24320;&#22987;&#20316;&#25558;&#65292;&#33136;&#24367;&#19979;&#21435;&#30340;&#26102;&#20505;&#65292;yeye kwa mfano &#19981;&#26399;&#25918;&#20102;&#20010;&#21709;&#23617;&#65292;&#24322;&#30340;&#21709;&#22768;&#30528;&#23454;&#25226;&#23385;&#23376;&#21523;&#20102;&#19968;&#22823;&#36339;&#65292;&#36830;&#24537;&#38382;&#65306;&#29239;&#29239;&#29239;&#29239;&#65292;&#26159;&#19981;&#26159;&#39740;&#21483;&#65281;”&#21710;&#21568;&#65281;&#20320;&#24590;&#20040;&#35828;&#36825;&#26679;&#19981;&#21513;&#21033;&#30340;&#35805;&#12290;&#29239;&#29239;&#24537;&#35828;&#65306;&#29399;&#23617;&#65281;&#29399;&#23617;&#65281;

Kumbe wale jamaa waliofungiwa &#29239;&#29239;&#25670;&#24320;&#20379;&#21697;, kwa sababu......

Ina maana kama ataivaa hiyo jezi....&#24322;&#30340;&#21709;&#22768;&#30528;&#23454;&#25226;&#23385;&#23376;&#21523;&#20102;..

Kwani mtu anapochukua ubini wa mtu mwingine....ina...&#29239;&#29239;&#24537;&#35828;

Ahgggghh!!!!!!!

Du hicho kichina au Kijapan?????
 
Hivi karibuni niliona picha na clip moja ya Raisi wa Marekani Obama akikabidhiwa mpira wa basketball na jezi ya timu yakina kobe...sijui kama kuna kasoro yoyote kwa JK kupokea ile jezi ukichukulia mwanzo alikwenda kuwaomba watembelee Bongo kuitangaza kwa utalii.
Labda useme hilo swala UMASKINI...mana hta nami nashindwa kushangaa pale rais aliposema anashangaa kwanini Tanzania ni maskini..tena ilikuwa ni kwenye mahojiano na mhandishi wa Paris.
 
Naweka mpira KWAPANI

Ukiweka mpira kunako kwapa manake mjadala umekwisha..si unajua tena hata kwenye michezo ya chandimu enzi hizo mwenye mpira akiweka mpira wake kwapani hapo ndo imetoka hiyo..sasa mwana kulikoni tena??
 
Hivi karibuni niliona picha na clip moja ya Raisi wa Marekani Obama akikabidhiwa mpira wa basketball na jezi ya timu yakina kobe...sijui kama kuna kasoro yoyote kwa JK kupokea ile jezi ukichukulia mwanzo alikwenda kuwaomba watembelee Bongo kuitangaza kwa utalii.
Labda useme hilo swala UMASKINI...mana hta nami nashindwa kushangaa pale rais aliposema anashangaa kwanini Tanzania ni maskini..tena ilikuwa ni kwenye mahojiano na mhandishi wa Paris.

Hiyo jezi aliyopewa Obama ni ya timu kutoka Temeke???

Na by the way Obama ni msahafu????

Uko tayari wewe Rais wako avae jezi yenye jina la Ronaldo? unajua maana yake????????

Sasa kwa nini mkawafungia???Mngewaacha waendelee...vitu vingine wabongo mnavifanya wenyewe...mkichorwa mnasema mnatukanwa...ebo!!!

Mi jezi ya madrid ninayo home, napigia deki. Madrid upupu tu.....tuache kukasirishana humu...patakuwa hapatoshi.....Au mnatutafutia sababu mtupoteze kabla ya uchaguzi ili mshinde kizushi.

Hili lazima nije nalo wakati wa kampeni.....hapiti mtu hapa.
 
Leo nimeona kwenye TV Rais wetu akipokea JEZI ya RONALDO ambayo ni zawadi toka Real Madrid kwa kutambua nini sijui wanajua wenyewe...........

Katika speech yake alishukuru eti ANASHUKURU SANA KWA ZAWADI HIYO na pia kuitambua Tanzania JAPOKUWA NI MASIKINI.......

Huyu baba vipi nilitamani nimzabe kibao kama ni umaskikini basi ni umasikini wa FIKRA alionao yeye na haoi wanaomzunguka, yaani Tanzania na na RASILIMALI zote tulizokuwa nazo, ARDHI, MADINI, NK tuna umasikini gani kama sio ujinga wa viongozi wetu kutajua jinsi ya kuzivuna na kufaidika na TAIFA nazo????

Naona hapa JK anatafuta kura mwaka 2010 kwa kila njia. Hapa wanaoombwa kura ni wapenzi wa timu husika na labda wa mpira wa miguu au michezo kwa ujumla wake.
 
Huyu mkulu wetu ni bingwa wa kuchemsha, Hivi kweli sisis watanzania wooote yaani yeye tu ndiyo tulimuona anafaa kuwa president wetu!?
Du! na amesema atahakikisha Real Madrid inatia mguu Bongo,.......sasa kichekesho wakati anahangaika na Ronaldo hapa nyumbani kuna tishio la mgomo wa wafanyakazi, yeye waaala haimshtui!
 
Hatuwezi kuona matokeo ya hivi karibuni ktk utendaji wake, kwani hata huko nje hotuba zenyewe ni zenye kubeba ujumbe wa "kufikirika" zilizojaa matarajio kuliko mipango ya utekelezaji ya muda mfupi....

PM, President Kikwete Want Closer Jamaica, Tanzania Ties

KINGSTON (JIS):
Thursday, November 26, 2009

spacer.gif
spacer.gif
spacer.gif
spacer.gif
20091126T060000-0500_22036_JIS_PM__PRESIDENT_KIKWETE_WANT_CLOSER_JAMAICA__TANZANIA_TIES_1.jpg

President of the United Republic of Tanzania, His Excellency Jakaya Mrisho Kikwete

President of Tanzania, His Excellency Jakaya Mrisho Kikwete, expressed a desire for closer relationships between Tanzania and Jamaica, as he addressed a joint sitting of both Houses of Parliament, at Gordon House on Wednesday (November 25).
"I want us to increase our co-operation in other aspects of our political life. For example, our Parliaments should develop close co-operation on a bilateral level besides working together under the auspices of the Commonwealth Parliamentary Association," President Kikwete said.
He also expressed a desire for more exchange of visits between the Government Ministries and departments of the two countries, as well as cooperation between their private sectors.
"I would like, as well, to see greater co-operation between our business communities and our peoples. This way, we will be able to share experiences, learn from each other and do much more together for our mutual benefit," he said.
President Kikwete said there was a need for increased trading and investment, as well, and expressed confidence that closer mutual economic co-operation, would be of tremendous benefit to both nations.
He said that Jamaica's vibrant tourism industry could teach Tanzanians a lot about the industry, and that Jamaican businesses were welcome to invest in Tanzania.
"They could do so in the tourism industry, or in any other sector of their choice. There is an abundance of opportunities in agriculture, mining, manufacturing, as well as in the services such as Information and Communication Technologies (ICT), health and education," he offered.
Earlier, Jamaica's Prime Minister, the Hon Bruce Golding, welcomed the Tanzanian leader and his party to Gordon House and commended him for his leadership.
"We know of the challenges you face: reducing poverty, developing your infrastructure, securing the investments needed to accelerate economic growth, providing better opportunities for your people and combating the effects of climate change that threaten the agricultural sector on which so much of your population depends," Mr. Golding affirmed.
He also commended President Kikwete on his ambitious programme of transformation at home, including economic liberalisation, structural and fiscal reforms, tax reform, privatisation and increased support for the private sector.
"You have done well. You have succeeded in maintaining low inflation, strong investment flows, robust international reserves and an average annual growth rate of seven per cent over the past decade," Mr. Golding remarked.
Leader of the Opposition, the Most Hon. Portia Simpson Miller, noted that the Oppositions stood ready to support any initiative that will draw both countries closer together.
"We feel that it is full time that you have an office established in Jamaica, that would serve this region, and we look forward to the day when the relationship will deepen with the establishment of that office," she said.
President Kikwete and his wife leave Jamaica on Thursday (November 26) for the Commonwealth Heads of Government Conference in Trinidad and Tobago, ending a memorable four-day state visit.
http://www.jis.gov.jm/parliament/ht...IKWETE_WANT_CLOSER_JAMAICA__TANZANIA_TIES.asp
 
We acha tu, alafu sijui hili neneo analipendea nini, wewe umepewa zawadi kwa mchango wako kwenye soka, unaingiza masuala ya kujiita umaskini, sijui ilikuwa ni GEA ya kuomba misaada?

poor mind, poor thinking capacity, poor leading skills,poor leadership, poor in words selection, poor in everything!
 
Kwa kweli viongozi wetu inabidi wabadili mtazao wao binafsi juu ya nchi yetu, Nashindwa kuelewa kwanini wanapokwenda nchi za nje wanachotangulia kueleza ni umaskini wetu na sio rasilimali zetu. Wakati fulani Kikwete alikutana na bilionea kule USA, badala ya kumweleza bidhaa tulizonazo (tanzanite n.k) ili tuweze kufanya nae biashara badala yake alimweleza kwamba sisi tunaangamizwa na maralia hivyo anahitaji msaada wake, yule bilionea alimuliza kwamba tuko watu wangapi tanzania na akaahidi kununua chandarua kwa kila Mtanzania na hili Kikwete alisema amefanikiwa katika safari yake. AIBU TUPU..!!!

Kwa hiyo watanzania wote kwa ujumla hebu tubadili mtazamo wetu na kuona fursa tulizonazo ndani ya nchi yetu. Wako watanzania wengi wanapopata nafasi ya kukutana tu na MZUNGU utaona anaelekeza mawazo ya kutaka kupata MSAADA kwanini tuishi kwa kuonewa huruma halafu tusaidiwe. "LET US CHANGE OUR MIND and THINK RICHNESS and NOT POVERT"

No comments brother !
 
Leo nimeona kwenye TV Rais wetu akipokea JEZI ya RONALDO ambayo ni zawadi toka Real Madrid kwa kutambua nini sijui wanajua wenyewe...........

Katika speech yake alishukuru eti ANASHUKURU SANA KWA ZAWADI HIYO na pia kuitambua Tanzania JAPOKUWA NI MASIKINI.......

Huyu baba vipi nilitamani nimzabe kibao kama ni umaskikini basi ni umasikini wa FIKRA alionao yeye na haoi wanaomzunguka, yaani Tanzania na na RASILIMALI zote tulizokuwa nazo, ARDHI, MADINI, NK tuna umasikini gani kama sio ujinga wa viongozi wetu kutajua jinsi ya kuzivuna na kufaidika na TAIFA nazo????
Hivi kama Rais ni Mjinga wale waliokubali kuongozwa na mjinga wanasifa gani???werevu?? kama mjinga anafanikiwa kushawishi werevu mpaka wanampa kura, yeye anabaki kuwa mjinga au anabadilika na kuwa mwerevu na nyie mliokubali kuongozwa na mjinga mnakuwa na sifa ya ziada ya UPUMBAVU?????????
 
Tungekua maskini kivile angekua na fleet ya BMW, BENZ, V8 na kuzurura dunia nzima kwa hela yetu!! Hajiulizi hela anayotumia na wezi wake ingeweza kuleta changes kubwa sana kama ikiwa directed properly.
 
Hatuwezi kuona matokeo ya hivi karibuni ktk utendaji wake, kwani hata huko nje hotuba zenyewe ni zenye kubeba ujumbe wa "kufikirika" zilizojaa matarajio kuliko mipango ya utekelezaji ya muda mfupi....

Good Good i support you

poor mind, poor thinking capacity, poor leading skills,poor leadership, poor in words selection, poor in everything!

Mmmmmmh yangu Macho
 
Tumpeke shule kwa kumpa kura "kiduchu" kwenye uchaguzi ujao, labda ataziduka!
 
Tumpeleke shule kwa kumpa kura "kiduchu" kwenye uchaguzi ujao, labda ataziduka kutoka Usingizini.
 
Back
Top Bottom