Elections 2010 Kikwete ukijibu swali la huyu mwanafunzi nitakupa kura yangu

Huna haja ya kumsumbua rais kwa swali dogo na la kitoto kama hilo. Mbona jibu ni rahisi tu...

Jibu: WATANZANIA WENGI NI WAVIVU. NA UKITAKA KUWA MASIKINI KAA VIJIWENI UONE INAVYOKUWA.

Nafikiri mifano ipo hai kabisa tena kwa kuanzia nyumbani kwako. Siku zote watu wavivu ndo wa kwanza kulalamika na kulaumu ilhali hawataki kuwajibika.

Always.. IDLE MIND IS A WORKSHOP OF A DEVIL.

Nawakilisha Oktoba 31
 


JK: "Sielewi kwanini Watanzania ni masikini"
 

Yaani Watanzania ni wavivu? Hauna akili!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…