Elections 2010 Kikwete ukijibu swali la huyu mwanafunzi nitakupa kura yangu

Huna haja ya kumsumbua rais kwa swali dogo na la kitoto kama hilo. Mbona jibu ni rahisi tu...

Jibu: WATANZANIA WENGI NI WAVIVU. NA UKITAKA KUWA MASIKINI KAA VIJIWENI UONE INAVYOKUWA.

Nafikiri mifano ipo hai kabisa tena kwa kuanzia nyumbani kwako. Siku zote watu wavivu ndo wa kwanza kulalamika na kulaumu ilhali hawataki kuwajibika.

Always.. IDLE MIND IS A WORKSHOP OF A DEVIL.

Nawakilisha Oktoba 31

Naomba kikwete ujibu swali linaloulizwa na mwanafunzi ktk tangazo la polisi forum, mwanafunzi anamuuliza mwalimu baada ya uhodari wa mwalimu wa kutaka kuonyesha jinsi nchi yetu Tanzania ilivyobarikiwa madini ya kila aina, Mwalimu anaanza kwa kusema:

kanda za ziwa mikoa ya mwanza shinyanga na mara kuna madini ya dhahabu, ukija shinyanga kuna madini ya alimas, ukienda kanda ya kaskazini, mkoa wa Arusha kuna madini ya Tanzanite ambayo yanapatikana Tanzania peke yake, mwanafunzi ananyanyua mkono na kumuuliza mwalimu; mwalimu kama ndiyo hivyo kwa nini sisi ni masikini? kikwete ukiweza kumjibu mwanafunzi yule nakupa kura yangu

source TV & Radio stations from Tz

JK: "Sielewi kwanini Watanzania ni masikini"

Huna haja ya kumsumbua rais kwa swali dogo na la kitoto kama hilo. Mbona jibu ni rahisi tu...

Jibu: WATANZANIA WENGI NI WAVIVU. NA UKITAKA KUWA MASIKINI KAA VIJIWENI UONE INAVYOKUWA.

Nafikiri mifano ipo hai kabisa tena kwa kuanzia nyumbani kwako. Siku zote watu wavivu ndo wa kwanza kulalamika na kulaumu ilhali hawataki kuwajibika.

Always.. IDLE MIND IS A WORKSHOP OF A DEVIL.

Nawakilisha Oktoba 31

Yaani Watanzania ni wavivu? Hauna akili!!

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom