Huyu kwa mwaka anakwenda Nyamwezi mara ngapi?
Jamani mwee huy JK toka aingie madarakani hajaingia mitaa hii kuna nini hasa?..Hivi Tanzania hatuna uhusiano wa karibu na Canada!...
Majuzi tu, Jumatatu wamekuja watu hapa kuitangaza EAC kibishara, wajumbe toka TZ, Kenya, Uganda, Rwanda kwa mwaliko wa watayarishaji ambao walitaka kiingilio kukutana na wakulu hawa. jamani hivi ndivyo tunavyozitangaza nchi zetu kweli?.
asipoenda huku kwingine atapa vipi misaada? Mkandara huko Canada itabidi mtengeneze package fulani ya msaada halafu mumwalike aje kuichukua... hivi hivi haji!
Yaani akili yake imefikia kikomo kiasi cha kutoweza kufikiria mbinu na njia zingine zaidi ya kuomba misaada? Say it ain't so.....
T dot, kwani vipi wanitafuta mkuu!Uko Canada mitaa gani ndugu?
Najua, wajua na wote tunajua sana kwamba wanavuta za kutosha na pengine Canada ndiye mwekezaji mkubwa Tanzania..mbali na yote hayo Mh. Membe hapa kwake nilitegemea sana kuwaona mitaa hii kuwakabidhi nyaraka zangu muhimu sana zinazohusiana na Diaspora na jinsi gani tunaweza kuisadia Tanzania..asipoenda huku kwingine atapa vipi misaada? Mkandara huko Canada itabidi mtengeneze package fulani ya msaada halafu mumwalike aje kuichukua... hivi hivi haji!
Nyani Ngabu said:Huyu kwa mwaka anakwenda Nyamwezi mara ngapi?
Mwanakijiji said:On the other hand.. unajua wizi mkubwa wa fedha za umma unafanywa katika trip hizi.? Wakati akiwa anapitia UAE miezi michache iliyopita baadhi ya wapambe walinunua injini za magari yao kuziweka kwenye ndege kwa hela ya walipa kodi wa Bongo.. na JK hajui hilo!
T dot, kwani vipi wanitafuta mkuu!
.
T dot, kwani vipi wanitafuta mkuu!
Mwanakijiji,
Najua, wajua na wote tunajua sana kwamba wanavuta za kutosha na pengine Canada ndiye mwekezaji mkubwa Tanzania..mbali na yote hayo Mh. Membe hapa kwake nilitegemea sana kuwaona mitaa hii kuwakabidhi nyaraka zangu muhimu sana zinazohusiana na Diaspora na jinsi gani tunaweza kuisadia Tanzania..
Kwa wale mlioko Los Angeles mheshimiwa rais Kikwete anawasili huko Tuesday. Atakutana na Watanzania pia. Atawasili Washington D.C jumatano lakini hana mpango wa kukutana na Watanzania kwa kisingizio kuwa Jumuiya ya Watanzania Washington bado ina mzozano wa uongozi. Atakutana na Hillary Clinton jumatano hiyo na Ijumaa anaingia NY.
..sasa hivi kuna uongozi mpya wa Barack Obama kwa hiyo hii nayo ni ziara ya Kikwete kujitambulisha tena/upya kwa serikali ya Marekani.
Ila safari hii nimependa ratiba, kwamba hatakutana na Obama, kwa mujibu wa habari ya itinerary ya SteveD.
Hataonekana anajipalatisha kwa Rais mpya, bali amekuja kwa ishu za foreign affairs, anakutana na foreign minister, Clinton, anaondoka. Kama ndio hivyo.
Ila safari hii nimependa ratiba, kwamba hatakutana na Obama, kwa mujibu wa habari ya itinerary ya SteveD.
Hataonekana anajipalatisha kwa Rais mpya, bali amekuja kwa ishu za foreign affairs, anakutana na foreign minister, Clinton, anaondoka. Kama ndio hivyo.
Huh! mkuu huna hata utani mjomba!..Kama ingekuwa kweli nisingekupa jina la mji... Unaweza kunifahamu tukafahamiana, sina noma mkuu wangu mimi hata siku moja sijifichi na wana JF wanajua hilo.Achia mbali kukutafuta, sikujui. Nilidhani uko pande pande fulani.
Respect
Balozi wetu mtu fresh sana ingawa sina mazoea naye ya karibu hata hivyo maswala haya ni mazito na nafahamu Bongo tunavyofanya kazi toa idea watu wanaiba na kutunga wao ubunifu, kisha wasifanye inavyotakiwa wataiboronga, nataka kuwakilisha kwa mkulu mwenyewe..labda nitavutwa Ikulu nikapumzike na box hili..LolKaka Bob, vipi tena... hupatani na Balozi wenu hapo?! Swali ambalo watakuuliza.