Jaslaws
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 6,016
- 5,301
Wakuu nadhani nyote mnakumbuka kua kwenye kampeni za uraisi Kikwete aliahidi kuwaleta real madrid, ni kweli veteran wa real madrid wamekuja, ila kinachonishangaza ni rais Kikwete kujivisha hizi sifa kua yeye ndo kawaleta, huu ni uongo wa mchana, real madrid wameletwa na mwarabu mwenye supermarket za tsn na wazo lilikuja baada ya jamaa kukutana na Luis Figo Dubai wala wazo halikutokana na ahadi za raisi.
Ombi: Kikwete na vyombo vya habari acheni kupotosha watu.
Ombi: Kikwete na vyombo vya habari acheni kupotosha watu.