athumhina67
Member
- Aug 11, 2014
- 47
- 7
Asichukiwe mtu kwa imani yake. Zamu zenu nanyi zitafika.
ngoja mazuzu waje hapa kukupinga! Wenzetu huwa wana-promote utalii kwa kutumia timu halisi wakati wa pre-season, ila sisi tunafanyiwa uzuzu usio na maelezo! Kikwete, you are the worst that could ever happen to our beloved country.
Acha chuki za Kisenge.eNgoja mazuzu waje hapa kukupinga! Wenzetu huwa wana-promote utalii kwa kutumia timu halisi wakati wa pre-season, ila sisi tunafanyiwa uzuzu usio na maelezo! Kikwete, you are the worst that could ever happen to our beloved country.
mi sishangai nchi ilipo sasa kama chama tawala ndo kinatekeleza ahadi zake kwa staili hii, yaani wanaahidi kuwaleta madrid ndo wanakuja hawa! hata mkiahidiwa fly over watajenga daraja
Sinachuki na kikwete hata kidogo,we ndo utaonekana mjinga kukataa mambo usiyojua,nenda tff ama mtafute mtu yoyote wa tff akuelezee ishu imeendaje.mi sio mjinga na wala sina chuki na raisi.
Mkuu iman yangu unaijua..?
kwikwikwi hyu maginga anakuaambia hakuna rais kama
vaaco da gama.....kwiwikwi
Amewaleta kwa gharama gani> na yeye amefaidika nini? chanzo cha habari yako?Wakuu nadhani nyote mnakumbuka kua kwenye kampeni za uraisi Kikwete aliahidi kuwaleta real madrid, ni kweli veteran wa real madrid wamekuja, ila kinachonishangaza ni rais Kikwete kujivisha hizi sifa kua yeye ndo kawaleta, huu ni uongo wa mchana, real madrid wameletwa na mwarabu mwenye supermarket za tsn na wazo lilikuja baada ya jamaa kukutana na Luis Figo Dubai wala wazo halikutokana na ahadi za raisi. Ombi: Kikwete na vyombo vya habari acheni kupotosha watu.