Kikwete, sasa umemwelewa Sumaye?

jf ni mahali pazuri pa kujifunza........nawasalimu akina gold...silva na ......
 

applause
 
Umenipa mtazamo mpana sana kuhusu .upinzani na ni viva ukawa!!!!
 
Kwa kweli sijapata kuona rais asiyejitambua kama JK. He was never fit kuwa rais wetu, he's simply useless.
 
nashangaa sana kuona ziro amegeuka ndiyo jembe la wapinzani kama ambavyo nashangaa sana kubwa la mafisadi kugeuka kuwa ndiyo nabii wa upinzani....

inji hii....full vituko!!!
 
sumaye ana kiburi sana,hata ongea yake ni kiburi full full,sijui mkapa alimtoaga wapi huyu...
 
nashangaa sana kuona ziro amegeuka ndiyo jembe la wapinzani kama ambavyo nashangaa sana kubwa la mafisadi kugeuka kuwa ndiyo nabii wa upinzani....

inji hii....full vituko!!!

hebu nifafanulie hapa kama nikubwa la mafisadi lowasa naomba kujua listi ya mafisadi mpaka tulipate dogo la mafisadi.
Biot
iptl
chench ya rada
meremeta
gass
kivuko cha magufuli
esxrow
epa
nyingine ongezea wewe alafu nipangie list hapo kuanzia kubwa la mafisadi mpaka yule dogo la mafisadi alafu mutueleze ilikuaje hawakufikishwa mahakamani na hamukuwahi kuyazungumzia mabaya yao mpaka walipowakimbia?kina muhongo na tibaijuka wajuzitu kwenye esxrow leo munawanadi tuwape kura hata hatujasahau maovu yao alafu muje kutupigia umbea wa miaka nane.lowasa ndiye rais hata iweje.na nasikia mudajidanganya eti hamutakabidh nch sasa jaribun ndi mujue tutatoa hukumu gani juu yenu kama icc haitawatembelea ndo hapo october
 

Shida ya nyumbu ni kutojua wapi wanatoka na wapi wanaenda....u think kuna tofauti kati ya mafisadi ndani ya ccm na nje...they're the same buddy...ndege wafananao...

Asojua maana haambiwi maana....kalagabaho!
 
sumaye ana kiburi sana,hata ongea yake ni kiburi full full,sijui mkapa alimtoaga wapi huyu...


Kiburi mnacho nyinyi mliosema hamumuelewi halafu bado mnapambana naye.
 
The best u can do is insulting....poor u...siwezi kujibizana na mpumbavu???


Hee kumbe wewe ndo Elungata? maana nimemjibu yeye weye wasema huwezi jibizana nami...

Hahahahahahah umechapia PC mkuu? kwi! kwi! kwi!

Kwakwakwaaaaa teh teh umekosea kubofya naona upo shift hapo mausingizi yamekukaba mpaka unakosea na kuchanganya laptop masikini!!

Yaani mtu mmoja unashiriki kwa ID 10??

Hivi mmewahi jiuliza huo utumwa mtaufanya mpaka lini?

Daah hiyo wapi IT centre Masaki au Lumumba? wasalimu mkuu....
 
Last edited by a moderator:

Nami sijakuelewa wewe kabisa. Maana sumaye naye alikuwa ccm na ulisemaga wewe mwenyewe kuwa ndani ya ccm hakuna msafi sasa mbona sikuelewi?
 

unajitekenya mwenyewe kisha unacheka....unajiuliza maswali na kujijibu mwenyewe....u can't be serious!

am off!
 
Ila nyinyi CCM mnapomdhihaki Lowassa ni sawa kwakuwa si mwanadamu aliyeumba na Mungu si ndiyo?

Point of correction, ndg sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…