Hamwezi jua pengine ameshaanza mapema kutafuta pa kukimbilia baada ya 2015 ndio maana anasafiri sana sehemu mbalimbali duniani kutafuta sehemu salama kukimbilia
Aende tu maana hata akibaki hana faida yoyote kwa nchi yetu zaidi ya kuwa na faida kwa wanaukoo wake pamoja na marafiki zake. WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
Majukumu mazito ya mtukufu mpendwa baba Rais wetu hodari, shupavu, mkakamavu, msikivu, kipenzi cha watu na mcheshi: safari, misiba, sherehe na matamasha mbalimbali
CCM hoyeeeeee!!
Hii safari inatusaidia nini wanachi wa Tanzania? kwa nini anatumia fedha ya kodi zetu vibaya? Inabidi awe makini sana na ashughulikie matatizo ya nchi yake kwani hizi safari za kwenda kwa wenzio wasio kuwa namigomo na yeye anaacha migomo hayaleti picha nzuri, na imekuwa ndo tabia yake kuyakimbia matatizo na anasahau akirudi atayakuta yanamsubiri tu. Na kwa nini hajifunzi huyu? kweli ana udhaifu ambao siyo wa kawaida
Huyu jamaa ni kweli sio kiongozi. Hapa akiondoka anadhihirisha kuwa anakimbia matatizo. Hana ubavu wa kukaa na wahusika na kutoa maamuzi kama president hivyo anatumia mbinu ya kukimbia ili awabebeshe mzigo wasaidizi wake.
Ni nafasi nzuri kwa waziri mkuu kuwaambia madaktari kwamba wasubiri jk arudi safari matatizo yao yote yatakwisha, au subirini rais atue canada nitampigia simu!!!!