Nanunsa 'state corruption' hapa. Kama kweli atakuwa amealikwa na akaenda kwenye hiyo sherehe basi tuna tatizo. Hawa Canada waliwaandalia chakula wabunge mwaka jana, na sasa naona mwaka huu wanamlenga Rais. Yote hii ni kutaka madini ya nchi.
Nyie mlitaka abaki akafanye upasuaji huko muhimbili?