Hapa mambo ya EPA weka kando. Unataka kupotosha mada. Hapa tunataka rwanda ifanye mazungumzo na wapinzani wake, sio kila mtu kumlabel genocider kuepa kuleta demokrasia na kumaliza utawala wa wachache rwanda.Hii imenikumbusha mbali sana Raisi wenu anavyotaka ku-negotiate with Majambazi. Eti walioiba hela za EPA rudisheni au njooni mjitokeze tujue jinsi ya kufanya kweli wakarudisha ama hawakurudisha na maisha yanakwenda. How on Earth do you negotiate na Jambazi???? unanegotiate nini, kamata weka ndani kamata mali zake zote....ushenzi tu huu. Wacha warwanda wamweleze alivyo kilaza.
On what grounds do they demand an apology? President Kikwete has his faults as a leader but on this case he is right!
The only way for Rwanda to move forward is negotiation otherwise hate will continue between the two tribes.
Hawa watutsi wanatumia mauaji dhidi yao yaliyosababishwa na wao wenyewe kwa kuvamia rwanda toka uganda kama mtaji wa kisiasa. wanataka huruma ya mauaji dhidi yao iwe mtaji wa wao kuhodhi madaraka ya kisiasa rwanda. Eti wanataka congo iongee na waasi wake wa kitutsi ambao wanapewa silaha na rwanda na kupigana kutokea nchi hiyo. Wao hawataki kuongea na waasi wao wa kihutu na kila mnyarwanda mpigania haki na demokrasia ya kweli wanamuita genocider. Hawa watutsi katikati ya bara la afrika ni kiini cha kukosekana amani eneo la maziwa makuu. Siku zote hawaishi fujo za kugombea madaraka kwenye nchi wanazokaa. Mazungumzo na FDLR ni jambo la lazima ili kupata amani ya kweli na ya kudumu Rwanda na waache kuitisha tanzania na rais wake kama wana akili nzuri.
kaa kimya kama hujui vitu..mbona hawaambii marekani wakae meza moja na al queda....mnakuwa na rais anaropoka ropoka afu mnatetea mautumbo hapa
Nakubaliana na wewe 100% huyo rweyemamu asije akawa one of m23 hawa jamaa wamejipenyeza sana kwenye system yetu. Kama sio basi tuone anapambana na hii propaganda ya kijinga ya m23 effectively. Hawa akina m23 ni hodari sana wa propaganda ndio maana wanafanikiwa kuendelea na udhalimu wao kwa wacongo na eneo lote la maziwa makuu.
Dialogue ndio mpango mzima katika upatikanaji wa AMANI katika nchi hizi za mziwa makuu.... Mkuu wa Kaya amezungumza bila kumung'unya maneno!
My brother, i am very sure you dont have an idea of what transpired in Rwanda during the genocide. RPF is the current arm of Rwanda under Kagame, the army which was ousted was pushed to DRC where rwandan government believes (and ofcoz the fact )that they were the one wanted to exterminate the tutsis. Now to rwandan gvt they are terrorist. The issue in question now is Kikwete telling them to sit with those terrorist and have agreement. That is what can never happen to rwandan government and that is the fact kikwete doesnt want to understand. Those people infact are wanted by the genocide court and kikwete was to tell them or assist on how to capture them. you dont negotiate with terorists.
Wewe kabla ya kuja hapa and criticize hiyo gacaca,nakushauri take time and educate yoself kabla ya kuandika kitu ambacho huna idea nachoTukirudi kwao huko Rwanda, what was the point of the gacaca system?
.
labda kama ni sympathiser, supporter wa m23rais wenu mropokaji akome
Wewe kabla ya kuja hapa and criticize hiyo gacaca,nakushauri take time and educate yoself kabla ya kuandika kitu ambacho huna idea nacho
Tell US wakae nao waongee na Al Qaida,Kagame hawezi kuongea na FDRL dawa yao ni kuwamaliza tuu kama walivyomaliza wenzao 94 na why negotiate na genocidals ambao their only goal ni kumaliza one part of population,na usichanganye FDRL na M23 ni vitu tofauti kabisaKabila would say the same thing - that M23 are terrorists. And the gospel according to Paul Kagame is that Kabila should talk to M23. Now, why 'St' Kagame thinks its ok for Kabila to talk to terrorists (M23) but not him -Kagame- with his band of 'terrosists', FDRL?
You did in one of your backpost(sina muda wa kuitafuta)...Wapi nime criticize gacaca? Unaweza kunionyesha tafadhali?
You did in one of your backpost(sina muda wa kuitafuta)...
Tell US wakae nao waongee na Al Qaida,Kagame hawezi kuongea na FDRL dawa yao ni kuwamaliza tuu kama walivyomaliza wenzao 94 na why negotiate na genocidals ambao their only goal ni kumaliza one part of population,na usichanganye FDRL na M23 ni vitu tofauti kabisa
Watu wasio jua amani sasa wanataka kutufundisha maana ya amani!?..........kwa kweli wameonyesha kutokukomaa......waone mifano kule Zimbabwe, Africa Kusini, Kenya nk....... walivyokaa meza moja kuondoa tofauti zao kwa manufaa ya mataifa yao......kuzungumza na kuelewana na wapinzani haiondoi mantiki ya kutoshtakiwa kwa walio na makosa endapo ushahidi upo......
RAIS yupo sahihi kabisa, mbona wakidundana wanakimbilia Kigoma na Kagera, kama ni mambo yao basi wauane huko huko. Hayo mengine ulosema hasa kwenye RED yananipelekea nisiendelee kubishana.
Lakin Shapu dunia ya leo hakuna linaloshindikana ndugu yangu dialogue zimeleta suluhisho sehem nying tu dunian. Najua utakua unaelewa UNITA (sasa chama cha siasa) imetokea wap wamepigana vita miongo kadhaa, Siera Leon na Liberia, South Sudan na Sudan zimetokea wap, tatizo la dialogue lipo kwenye dunia ya waarab tu na nahis ni kutokana na version ya Ugaid vs umagharibi, na western culture vs Islamic civilazation kwamba baadh ya waarab wanajiona freedon fighters while ulaya wanawaona magaidi na wengne wanaona maslah ya dini yao yanapigwa vita while wazungu wanaita extrimism/radicalism ila kwa Africa hatujashindwa bado kama viongozi wakiweka tamaa nyuma na uzalendo mbele inawezekana kagame aache kutoa support na waasi wakubali demokrasia ichukue nafas!
you know you people in great lakes think we dnt know anything going on in the area, you must be sick!
for your info, we knew who was going to bring down the habryimana plane that day. and the late president was also advised but he didint listen.
Kagame ndio alianzisha hii genocide and he is the one to end it. whether rwanda love it or not we dnt care.
kaa kimya kama hujui vitu..mbona hawaambii marekani wakae meza moja na al queda....mnakuwa na rais anaropoka ropoka afu mnatetea mautumbo hapa